Kila mtu ana kiwango cha kuhimili matatizo na hizi ni changamoto tu za maisha hata mimi na wewe as long as tunapumua bado hatuna haki ya kusema hatuwezi kufikia hali ya jamaa muhimu tusali sana Mungu atuepushe.
Mimi namjua jamaa alikopa bank zaidi ya Tsh 200mill akaenda China kufunga mzigo akakutana na wahuni wakamnyoosha alipigwa cash yote akarudishwa bongo na ubalozi leo tupo nae mtaani hapa Kariakoo anapiga winga zake maisha yanaenda mwengine alikopa aendeleze biashara akaletewa mzigo mbovu akajinyonga,unaweza ukaona mmoja alikopa aanze biashara akapoteza akabaki normal huyu mwingine biashara alikuwa nayo tayari ila alipopoteza akajidhuru.
Ni vitu vya ajabu sana.