TANZIA Joel Misesemo afariki dunia kwa kujirusha kutoka ghorofani jengo la Derm eneo la Makumbusho, Dar

huyo Marehemu Joel alikuwa ni nani, alikuwa anafanya kazi gani?
na alikuwa anafanya nini kwenye hilo gorofa muda huo?

tukipata majibu ya maswali hayo ndipo tutajua kama
1. kajirusha mwenyewe au
2. kasukumizwa.
 
Najua ndugu yangu?mi mwenyewe nimeshangaa japo hajaongea kiuwazi sana,anasema Kuna mshkaji wao mwingine alimwambie asiwe anabaki nyumbani awe anaenda kushindashinda ofisini kwake ndio walikubaliana aanze kwenda Leo j5

Sanaa ya kifo
 
Sanaa ya kifo
Nimekuelewa kaka....ilikuwa ni hatma yake,kafaulu mtihani wake,bado sisi tuliobaki
 
madeni ndo unajiuaa???
Kila mtu ana kiwango cha kuhimili matatizo na hizi ni changamoto tu za maisha hata mimi na wewe as long as tunapumua bado hatuna haki ya kusema hatuwezi kufikia hali ya jamaa muhimu tusali sana Mungu atuepushe.

Mimi namjua jamaa alikopa bank zaidi ya Tsh 200mill akaenda China kufunga mzigo akakutana na wahuni wakamnyoosha alipigwa cash yote akabaki mweupe akarudishwa bongo na ubalozi leo tupo nae mtaani hapa Kariakoo anapiga winga zake maisha yanaenda mwengine alikopa aendeleze biashara akaletewa mzigo mbovu akajinyonga,unaweza ukaona mmoja alikopa aanze biashara akapoteza akabaki normal huyu mwingine biashara alikuwa nayo tayari ila alipopoteza akajidhuru.

Ni vitu vya ajabu sana.
 
Kila mtu ana kiwango cha kuhimili matatizo na hizi ni changamoto tu za maisha hata mimi na wewe as long as tunapumua bado hatuna haki ya kusema hatuwezi kufikia hali ya jamaa muhimu tusali sana Mungu atuepushe.

Mimi namjua jamaa alikopa bank zaidi ya Tsh 200mill akaenda China kufunga mzigo akakutana na wahuni wakamnyoosha alipigwa cash yote akarudishwa bongo na ubalozi leo tupo nae mtaani hapa Kariakoo anapiga winga zake maisha yanaenda mwengine alikopa aendeleze biashara akaletewa mzigo mbovu akajinyonga,unaweza ukaona mmoja alikopa aanze biashara akapoteza akabaki normal huyu mwingine biashara alikuwa nayo tayari ila alipopoteza akajidhuru.

Ni vitu vya ajabu sana.
Kweli binadamu timetofautiana uwezo wa kuhandle issues
 
Kweli kabisa mkuu havielezekii...!! kila tatizo lina uzito wake wa tofauti kwa kila mtuuu yani acha tu.
 
Back
Top Bottom