Joel Nanauka akifurahia ndoa

Sahihi kabisa. Kwa ufupi jamaa tupo vizuri kichwani. 2002 ilikuwa form yangu. Hawa jamaa walitamba sana miaka yetu. Wao ilikuwa ni kupiga A's tu. Mwizarubi yupi wapi???
Alikuwa Tanzania 2 kama sikosei mwaka 2002 akitokea kibaha TO wa mwaka huo alikuwa MOSSES MWIZARUBI toka ILBORU
 


Nanauka baada ya kumaliza chuo unajua amefanya Kazi wapi na wapi

Yule alikuwa UNICEF

Ukisema PESA sijui Kama unaweza mfananisha na waajiriwa wa bongo

Nanauka unajua analipwa sh . ngapi ili kuzungumza ?

Usiongee mambo kui-mpress Nanauka yupo hatua za juu Sana now
 
copy na wewe uone kama utafanikiwa

una uhakika unaweza kucopy nyimbo za mondi kama zilivyo?

huko kucopy pia ni kipaji na ndio maana aliweza kuwa best student O level

wewe sijui hata kama umewahi kuwa best shuleni kwenu
Umeambiwa hajawahi kuwa Tanzania one (TO) mwaka wake TO alikua Mwizarubi.
 
Acheni kumpamba huyo jamaa wa kawaida Sana. Anaweza ku-pull crowd nchi za watu akaeleweka? Au akikusanya wafanyakazi wa Halmashauri Buhigwe huko unamuhesabia tayari amefanikiwa?
 
kwa idea yako hii maana yake hamna haja ya watu hata kwenda vyuoni

acha upumbavu mzee

Hata mwalimu huwa anacopy kwenye vitabu ila ana mchango mkubwa katika maendeleo ya mwanafunzi

Halafu sio kila mtu ana hobby ya kusoma, wengine wanajifunza effectively kwa kusikia na vitendo
 
Zamani nilikuwa namsikiliza,ila tokea nilipoanza kusoma vitabu nimepoteza interest kabisa ya kumsikiliza huyo mwamba,naona hana jipya,kumbe ni maarifa ya vitabuni.

Hongera kwake kwa kuwa msomaji mzuri.
mjinga sana wewe, sasa maarifa yanatoka wapi ?

kuwa kama yeye kama unaona ni rahisi
 
Acheni kumpamba huyo jamaa wa kawaida Sana. Anaweza ku-pull crowd nchi za watu akaeleweka? Au akikusanya wafanyakazi wa Halmashauri Buhigwe huko unamuhesabia tayari amefanikiwa?


Yule ni Mwalimu wa chuo kikuu nje anafundisha kwa njia ya masafa.


Yule ni mwandishi wa vitabu

Ni Speaker

Ni psychologist

Ni mentor anafanya mentorship

Ana NGO yake inaitwa Nanauka Foundation.

Anafanya Research ni researcher

Nanauka ni partner anafanya kazi na serikali katika kutoa huduma ya self-development tena kwa viongozi wakubwa .

Sasa MTU kama huyo atakosaje PESA hata million kadhaa

Kwanza akipokea CALL moja ktk foundation si HELA nyingi tu

Kwanza hela yake anayochukua YouTube si ni mshahara kabisa wa MTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…