Joel Nanauka akifurahia ndoa

Joel Nanauka akifurahia ndoa

Sahihi kabisa. Kwa ufupi jamaa tupo vizuri kichwani. 2002 ilikuwa form yangu. Hawa jamaa walitamba sana miaka yetu. Wao ilikuwa ni kupiga A's tu. Mwizarubi yupi wapi???
Alikuwa Tanzania 2 kama sikosei mwaka 2002 akitokea kibaha TO wa mwaka huo alikuwa MOSSES MWIZARUBI toka ILBORU
 
Motivational speakers wa mwanzoni walishika shika hela. Mwaka 2011 Shigongo akishirikiana na James Mwangamba aliandaa mkutano Sheikh Amri Abeid Arusha na watu walilipa wengi kiingilio. Ila kwa sasa wananchi wameshtuka na kukataa hizo mambo. James akipost kwenye page yake hakuna mtu ana-comment tofauti na mwanzoni. Huyo Nanauka alisoma BCom ambapo kwa mwaka aliomaliza 2008 angepata kazi kirahisi na huenda hadi muda huu angekuwa mbali sana kama mhasibu. Motivational speaking hailipi. Kwa sasa kuna trend ya hawa wanaojifanya wataalamu wa afya. Unakuta mtu anajiita Dr kabisa. Nao pia wapige hela za wajinga haraka haraka kabla hawajashtuka.


Nanauka baada ya kumaliza chuo unajua amefanya Kazi wapi na wapi

Yule alikuwa UNICEF

Ukisema PESA sijui Kama unaweza mfananisha na waajiriwa wa bongo

Nanauka unajua analipwa sh . ngapi ili kuzungumza ?

Usiongee mambo kui-mpress Nanauka yupo hatua za juu Sana now
 
copy na wewe uone kama utafanikiwa

una uhakika unaweza kucopy nyimbo za mondi kama zilivyo?

huko kucopy pia ni kipaji na ndio maana aliweza kuwa best student O level

wewe sijui hata kama umewahi kuwa best shuleni kwenu
Umeambiwa hajawahi kuwa Tanzania one (TO) mwaka wake TO alikua Mwizarubi.
 
Nanauka baada ya kumaliza chuo unajua amefanya Kazi wapi na wapi

Yule alikuwa UNICEF

Ukisema PESA sijui Kama unaweza mfananisha na waajiriwa wa bongo

Nanauka unajua analipwa sh . ngapi ili kuzungumza ?

Usiongee mambo kui-mpress Nanauka yupo hatua za juu Sana now
Acheni kumpamba huyo jamaa wa kawaida Sana. Anaweza ku-pull crowd nchi za watu akaeleweka? Au akikusanya wafanyakazi wa Halmashauri Buhigwe huko unamuhesabia tayari amefanikiwa?
 
Kabisa mkuu.

Wabongo wavivu sana kusoma vitabu afu muhuni mmoja akitokea akasoma soma vitabu na kupiga suti na moka kali akaanza kuwapa speech basi wanaona anajua kila kitu.

In this era of science and technology mambo ni rahisi sana kila mtu anaweza kujua chochote atakacho kwa intaneti tu, si lazima mtu aje akwambie kwa kukupa speech.

Tatizo wabongo hizo intaneti wanatumia kufuatilia simba na Yanga Zuchu& Diamond na udaku udaku tu.
kwa idea yako hii maana yake hamna haja ya watu hata kwenda vyuoni

acha upumbavu mzee

Hata mwalimu huwa anacopy kwenye vitabu ila ana mchango mkubwa katika maendeleo ya mwanafunzi

Halafu sio kila mtu ana hobby ya kusoma, wengine wanajifunza effectively kwa kusikia na vitendo
 
Acheni kumpamba huyo jamaa wa kawaida Sana. Anaweza ku-pull crowd nchi za watu akaeleweka? Au akikusanya wafanyakazi wa Halmashauri Buhigwe huko unamuhesabia tayari amefanikiwa?


Yule ni Mwalimu wa chuo kikuu nje anafundisha kwa njia ya masafa.


Yule ni mwandishi wa vitabu

Ni Speaker

Ni psychologist

Ni mentor anafanya mentorship

Ana NGO yake inaitwa Nanauka Foundation.

Anafanya Research ni researcher

Nanauka ni partner anafanya kazi na serikali katika kutoa huduma ya self-development tena kwa viongozi wakubwa .

Sasa MTU kama huyo atakosaje PESA hata million kadhaa

Kwanza akipokea CALL moja ktk foundation si HELA nyingi tu

Kwanza hela yake anayochukua YouTube si ni mshahara kabisa wa MTU
 
Back
Top Bottom