John Heche amjibu Saada: Wazanzibari wanaoishi Tanganyika nao wanyimwe matibabu?

Huna akili
 
Saada Mkuya Salum amekua mbunge na waziri wa fedha huku bara.
Saada anadai eti alitolewa kwenye uwaziri wa fedha sabababu ni Mzanzibari.. Kwamba wengine wamekaa muda mrefu lakini yeye muda mchache
 
Subiri Msigwa aje kutoa ufafanuzi sio wewe.

Msikilize vizuri Saada kasema na video ipo, mtu akienda hospital akitoa kitambulisho cha Taifa asitibiwe mpaka atoe cha Mzanzibari.
Na Lucas Mshamba ndio watoa ufafanuzi
 
Hata hapo SA yalianza hivi hivi dhambi ya ubaguzi huwa haiishi kamwe ogopa sana
Hizi kauli toka kwa viongozi waandamizi wa Taifa la Zanzibar siyo za bahati mbaya, ukweli ni kuwa hawa watu wamejiandaa ifikapo 2030 mwenzao akimaliza term yake huku Tanganyika na muungano unakoma. Kauli hizi zina baraka zote za Mwenzao anayetawala huku bara na kipindi hiki tutashuhudia Zanzibar ikijengeka kwa kasi ya ajabu kwa kodi za Watanganyika, Yote haya wameyataka wahafidhina wa CCM waliokataa muundo wa serikali tatu sasa hizi serikali mbili ndiyo zimetoa mwanya kwa wazenji kututawala kila nyanja , hata Waziri wa Fedha kuteuliwa Mzanzibari ni katika mkakati wao. Watanganyika tujitafakari jee CCM inatutendea haki kutuwekea Rais asiye wa damu yetu Watanganyika?
 
Tutalalamika sana! Lakini dawa ni kupatikana kwa Serikali ya Tanganyika tu.
Mambo ya Muungano ndiyo yabaki vile vile!.
 
Zero brain
 
TEC wapo wapi
Wewe unatufanya waislamu wengine tuonekane hatuna maana.

Hoja iliyoletwa ni ya msingi ambayo inaleta nyufa kwenye utaifa. Ila wewe unaitumia dini kwa maslahi yako binafsi.

Kwani huku kuna bara kuna wazanzibar wangapi wanaishi na wanapata fursa na hawabaguliwi?

Swali la msingi ni kuwa hii nyufa itazibwa vipi kwa sababu hali inaonekana si shwari kunakoelekea.

Wewe unaitumia dini vibaya! Nenda kasome kitabu cha Imam Ghazal kinaitwa "Ihyaa Ulumiddin..."

Utaona waislamu aina yako Mtume kawazungumziaje na marejeo yao ni wapi.
 
Akili huna we jamaa
 
Ulikofikia wewe ni kwa hatari mno, iko siku viongozi wako wa CCM wakisema kinyesi nacho ni msosi kwenu hapo lumumba utawaunga mkono na kula utakula mbweha wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…