exaud morrey
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 1,024
- 977
CAG anakazi gani mbons CHADEMA hawanaga hati chafu?Kuuchapisha na kuusambaza ndio suluhisho? Mbona wao Chadema hawajawahi kuuchapisha na kuusambaza mgawanyo wa ruzuku wanazopokea Toka Serikalini?
Mada siku zote ni diversity.Unajaribu kubadili mada
Chomoa upesi uja...beKuuchapisha na kuusambaza ndio suluhisho? Mbona wao Chadema hawajawahi kuuchapisha na kuusambaza mgawanyo wa ruzuku wanazopokea Toka Serikalini?
huyu huwaga kama kawekewa pilipiliWewe ni mnafiki sana, yaani hueleweki, usitake niweke machapisho yako 100 ya kuukosoa mkataba
Ulikuwa unanitumia Mimi au Mamaako?Chomoa upesi uja...be
Serikali Ina hati chafu ya Mkataba wa DP World toka kwa CAG?CAG anakazi gani mbons CHADEMA hawanaga hati chafu?
kweli wewe ntoto wasuule[emoji867]Serikali Ina hati chafu ya Mkataba wa DP World?
Labda kwa kiarabu na kimanyema.FaizaFoxy keshautafsiri so uchukueni muuchapishe tu!
Anzisha Uzi wako kama hiyo inakuchoma sanaKuuchapisha na kuusambaza ndio suluhisho? Mbona wao Chadema hawajawahi kuuchapisha na kuusambaza mgawanyo wa ruzuku wanazopokea Toka Serikalini?
Na hapa chadema wamewakaba kooniNaona itakuwa vizuri, unajua bado tunaendelea kujifunza, hasa kwenye vitu vya kisheria. Wananchi tutaokota hata maneno mawili si haba.
Shule muhimu sana kila mara, ni hii ni fursa ya kujifunza vitu.
Huyu leo kasali kwa mzee wa paba aka Konyagi.Umesali wapi leo? Kwa Mbiso Mbezi Beach au kwa Kimaro Kijitonyama?
ππππ Achana na yule tapeli bwashe. Kwanza anatamani mkataba ungeandikwa kiarabu kabisaFaizaFoxy keshautafsiri so uchukueni muuchapishe tu!
Leo anaishambulia Bakwata πππ₯ππππ Achana na yule tapeli bwashe. Kwanza anatamani mkataba ungeandikwa kiarabu kabisa
ππ Anashangaa Bakwata unashindwa nini kutetea waisalamu wenzao wa Dubai. Hovyo sana.Leo anaishambulia Bakwata πππ₯
Akihutumia maelfu ya wananchi wa Muleba 29.07.2023, mh Heche amesema Chadema itachapisha na kusambaza nakala za mkataba wa Samia na DP world hadi vijiweni.
My take: Ngoma inazidi kuwa tamu. Hakuna neno litakalo baki limestirika. Wanabaki uchi wa mnyama.
wanachapisha wapi kama ni mtandaoni sawa ila kwa mfumo wa karatasi nashauri hizo fedha wangeanza walau kumwaga mawe ya ujenzi wa jengo la ofisi
Ahahahahaha! Mtoto wa Shule ambaye huwezi kujibu hoja zake! Ahahahahaha!!!kweli wewe ntoto wasuule[emoji867]
Kwahiyo Uzi tusichangie sio? Sasa kwanini mtu anapandisha Uzi ambao HATAKIWI kuchangia? Is that democracy you're advocating? Ahahahahaha!!!Anzisha Uzi wako kama hiyo inakuchoma sana
Ungekua nahoja tayali ningesha kujibu ndio maana nimekubali kua wewe nimtoto wa shule inatoshaAhahahahaha! Mtoto wa Shule ambaye huwezi kujibu hoja zake! Ahahahahaha!!!