John Heche: Magufuli aliniahidi kunipa nafasi ya Uwaziri kama ningekubali kuhamia CCM

Usiamini kila kitu kinachosemwa na wanasiasa. Yaani kusema tu hivyo tayari umeamini kuwa Heche alikuwa approached kuhamia Ccm. Bado safari yetu kama taifa ni ndefu sana
Safari ni ndefu kwa kichwa maji kama wewe
 
Hufahamu nguvu na uwezo wa Heche, pita huko
 
Kwahiyo yule naibu Waziri wa Afya alifika dau kizezeta?

Mambo yote hadharani😆
 
Kwamba wewe ndo unajiona una akili sana siyo. Wewe ni pimbi mmoja tu huwezi ku argue na mimi hata kidogo.
Sasa naanzaje ku argue na mpumbavu? Hata Biblia imekataza kubishana na kiumbe kama wewe, Mithali 26:4 "Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye"
 
Huyu nae boya tu, uwaziri kaukataa na ubunge kakosa bahati haijagi marambili
 
Uongo huo anamuongelea mtu ambae hawezi kuongea Tena

Magu hawezi kuwaaproch watu kwa jinsi hyo aseme tu labda bashiru alimfata kupitia maguful
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…