John Heche: Magufuli aliniahidi kunipa nafasi ya Uwaziri kama ningekubali kuhamia CCM

Ila hela za posho wanazo.
 
Hufahamu nguvu na uwezo wa Heche, pita huko
Mbona huna uwezo wa kujibu hoja? Nilitegemea tutapambana kwa hoja, kumbe mwenzangu mweupe kabisa. Lowasa alisema elimu!! Elimu!! Vijana wengi mnakosa uwezo wa hoja makini kwa kuwa hamna elimu!! Oh!! Mungu wangu taifa langu linaangamia kwa kukosa elimu!! Yaan huyo mwalimu wako Heche mwenye njaa kali, ya kupata pesa za ubunge anatunga uongo wa hovyo ili aonekane.
 
Simtetei Magufuli, alichosema Heche hakipingani na tabia za Magufuli.

Ila, ingekuwa vizuri zaidi Heche angefunguka wakati Magufuli yupo hai. Ili tumsikie Magufuli angejitetea vipi. Ili Heche aweze kupata uhalali zaidi kwa uhakiki.

Kwa sasa hivi, hata mimi naweza kusema Magufuli alitaka kunipa uwaziri nikakataa.

Mtathibitishaje kuwa hiyo habari ni kweli au si kweli na Magufuli kashafariki?
 
Kitu ambacho mwanasiasa huenda anaweza asidanganye labda jina la lake
 
Kwa uspesho gani alionao. Aache uongo na uzandiki. Heche waziri my foot!
 
Uongo gani? Kwani kina Katambi, silinde, Waitara n.k hawakupewa walipohamia CCM? Nitajie mwana CHADEMA mmoja tu aliyehamia CCM kipindi cha JPM na hakupewa cheo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…