John Heche: Magufuli aliniahidi kunipa nafasi ya Uwaziri kama ningekubali kuhamia CCM

Heche anafanya upumbavu tuu, Sasa mtu alishakufa angenyamaza tuu hakuna namna ya kuthibisha au kukanusha. Yeye anagombea mwakani hilo ndo la msingi.
Hittler alikufa miaka mingi lakini mpaka sasa uovu wake unaongelewa na kulaaniwa. Magufuli alikuwa na roho ya uuaji, maisha na maisha, atabaki kukumbukwa kama muuaji na katili.
 
Pole, magu alikuwa na siasa za kitoto ile mbaya. Na hayo madaraka ya urais ndio yalionyesha udhaifu wake kama mwanasiasa. Alikuwa analazimisha sana kukubalika hata kwa wasiomkubali. Inshort alikuwa anapenda siasa, wakati siasa zilikuwa hazimtaki.
 
Usiamini kila kitu kinachosemwa na wanasiasa. Yaani kusema tu hivyo tayari umeamini kuwa Heche alikuwa approached kuhamia Ccm. Bado safari yetu kama taifa ni ndefu sana
Ni wangapi walihamia, kisha tukaishia kuona chaguzi za kishenzi sana ili warejee kwenye nafasi zao?
 
Muongo mkubwa huyu,kwa nini hakusema kipindi Magufuli akiwa hai.
Mangapi yalisenwa akiwa hai na hakukanusha Wala kukubali? Lisu si alikuwa anamtaja waziwazi kuwa ndio aliagiza ashambuliwe, aliwahi kujibu? Au hayo Heche ndio angeona ya muhimu sana kujibu?
 
Magufuli am-approach huyo alikosa nini. Hao wamechanganyikiwa
 
Kwani wewe mgeni na Jiwe !.Alikuwa na siasa za hovyo kupitiliza.
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa TZ si mtu wa kum-approach takataka km hiyo. Ameona amesahaulika anatafuta namna ya kutrend huyo nyumbu
 
Angesema akiwa hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…