Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You are wrong on this bruhhHela aliyotoa Shujaa Magufuli kwa family ya Msigwa ilitumika kumtoa Gerezani Freeman Mbowe
Hii walisema Chadema wenyewe🐼You are wrong on this bruhh
Ni heshima kubwa kumchukia kiongozi DHALIMUHiyo Avatar uliyoweka inadhihirisha chuki....huyo jamaa yako kwenye avatar hawezi kumsahau Chuma pale Butimba...
Udhibitisho wa mimi kuotesha miti kwani Kuna kesi, au unadhani hiyo miti yangu ni mali ya umma hivyo ninapaswa kutoa taarifa kwenye public domain? Punguza utoto dogo.Yale yale ya Ujinga wa Heche bila udhitibitisho. Unajitamkia tu kipumbavu. Tutadhibitisha VIP. Labda, nikwambie, na nikuondoe Ujinga, hapa dunia hauwez kuongea kitu bila udhitibitisho. Ukiongea bila udhitibitisho utaonekana poyoyo tu.
JF ni public domain. Watu wengi tu wanaangalia.Udhibitisho wa mimi kuotesha miti kwani Kuna kesi, au unadhani hiyo miti yangu ni mali ya umma hivyo ninapaswa kutoa taarifa kwenye public domain? Punguza utoto dogo.
Kwahiyo hiyo nilete taarifa hapa jf kwani project zangu ni umma? Unaongea utoto dogo?JF ni public domain. Watu wengi tu wanaangalia.
Kwanini hakujitokeza na kuyasema haya akiwa hai ili naye apate nafasi ya kukanushaLeo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe.
Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi kama unabaki CHADEMA na Ubunge wa Tarime usahau, hautapata.
Hongera John Heche, big repect to you
Kama umepanda miti 5,000 ni umma tayari. Lete evidence zako hata picha na uandike ww ndie umepanda ili waje watu kukusuta.Kwahiyo hiyo nilete taarifa hapa jf kwani project zangu ni umma? Unaongea utoto dogo?
Sasa kama alionekana na tija why asivutwe CCM.Kuitwa CCM sio inshu labda hapo kwenye ubungeLeo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe.
Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi kama unabaki CHADEMA na Ubunge wa Tarime usahau, hautapata.
Hongera John Heche, big repect to you
Ona huyu...!!Unamjua Joshua Nasari?Unamjua Cecily Mwambe?Unamjua LIJUALIKALI?Unamjua Mtatiro Julius?Una mjua Moses Machari?Anatafuta kiki tu. Mbona hakuyasema haya alipokuwa hai? Atuthibitishie walau.
Basi Heche siyo Mura maana Zacharia aliwaonyesha uMura hawakurudia tenaMkuu umesahau kwamba Magufuli alikuwa anamiliki kikundi cha WASIOJULIKANA? Wanakuteka halafu wanakuua kama Ben Saanane
Do ..kama angemuhaidi isingepita week bila kutweet kule huo ni unafiki wa kiawqngo cha lamiLeo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe.
Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi kama unabaki CHADEMA na Ubunge wa Tarime usahau, hautapata.
Hongera John Heche, big repect to you
Mbona hakusema akiwa hai. Anatafuta huruma ili arudi bungeni. Kitaa kugumu [emoji23] [emoji23]Leo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe.
Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi kama unabaki CHADEMA na Ubunge wa Tarime usahau, hautapata.
Hongera John Heche, big repect to you
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wataalamu wabobezi kwenye uongo Wanasema ukitaka kusema uongo singizia marehemu aliniambia
Mfano mimi mwenyewe Marehemu Lowassa aliniomba niwe mgombea uraisi wa Chadema nikakataa nilipokataa ndipo akaamua yeye mwenyewe kugombea ila ilimuuma sana mimi nilipokataa
Acha uongo nitajie nani aliuliwa na Magufuli? Heche empty head tu na hana maajabu!Aseme halafu auliwe na yule dhalimu?