John Heche: Mwalimu anayestahili kuwa nje ya Ualimu

Si afadhali huyu kuliko yule ambaye hakuwahi kuona mlango wa chuo lakini....
 
Takataka wewe na ndg zako kobaz uliowasalimia hapo mwanzo
 
JOHN HECHE , Ndo aina ya walimu ambao wamelijengea heshima kubwa Taifa hili ,sio wa sasa ,zamani Mwalimu anaheshimika sana , jamii inajua huyu ni mwalimu Flani , sio sasa walimu wanavaa milegezo na vimini , uza mandazi shule, nakumbuka mwalimu wangu mmoja wa primary ndo alikua ametoka depo jkt miaka iyo , kipindi icho mchamchaka shuleni upo, e bwana naona ni kama walikua wanaambiwa mwendapo huko shule za msingi watoto pia wawe depo.

Alipenda kiitikio cha panya ni panya panya , sasa ole wako vuruga mstari ,e bwana , ukisikia wiki hii zam ya mwl Horede , jua ni wiki ya kuimba panya ni panya panya
 

..Mdungi Ussi, Aziz Twala, Abdullah Kassim Hanga, na wengine, ni Wazanzibari waliopotezwa na utawala wa Sheikh Abeid Karume.
 
Sasa ndio nini wakati aliishia umasikini,uchumi wa sasa ni wa kibepari hauko imara unapotea,hivyo kuuza karanga kwa waalimu ni kasi ya kuendana na ubepari,huko chadema mnafundishwa kushangaa hovyo kama nyumbu,
 
Kaka 🤣
 
Mama yako wa kizimkazi alipiga "bashite" kidato cha nne ameungaunga leo hii ni daktari.

Ukitata ugomvi na kunguni wa huyo mama waulize ni daktari wa nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…