Usaliti upi..? Mtu miaka 20 haja ingiza chama ikulu na mbinu zake zimefell why asipumzike sasaWacha waune wagawane mbao ila wajue uchaguzi ukiisha wajue walipo peleka ugali mwamba yupo na hasira nyingi mafichoni kwa usaliti alionyeshwa hadharani!
Lissu alikataa RUSHWA ya Abduli mtoto wa Samia, na kumwambia mwambie Mama yako anilipe fedha zangu HALALI.Lissu alisema alimwambia Abduli kuwa akimsaidia alipwe fedha anazodai atakuwa rafiki yake milele.
Amandla...
Sawa wazee wa kijiji cha kusadikika.Natamani
1. Lissu - Mwenyekiti
2.Heche - M/mwenyekiti
3. Lema - Katibu mkuu
angekua sio mtu wa kubeti na shisha,Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.
Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu. CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako."
View attachment 3193009
Siku anazikataa ulikuwepo?Lissu alikataa RUSHWA ya Abduli mtoto wa Samia, na kumwambia mwambie Mama yako anilipe fedha zangu HALALI.
Tunataka viongozi wa aina hii kataka vyama na taifa kwa ujumla.
Mimi sikiwepo ila Lissu mwenyewe katangaza kwenye vyombo vya habari, na kama ni uongo Abduli mtoto wa Samia angekanusha na kumfungulia mashataka Tundu Lissu.Siku anazikataa ulikuwepo?
Mkuu, mimi nipo huku, kijiji cha Wagagagigikoko, hakukaliki.Sawa wazee wa kijiji cha kusadikika.
Hapo sawa nimeelewaWakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.
Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu Lissu na nimeamua kuchukua Fomu ili nikamsaidie Mwenyekiti kujenga Chama chetu. CHADEMA ni tegemeo la wananchi. Kwa rafiki yangu Wenje, tumefika hapa kwa sababu yako."
View attachment 3193009
Hiyo ni spinning. Kuna Clip anasema wazi kuwa alimpa ushahadi wa madai yake. Na akasema alimuahidi urafiki wa kudumu. Sasa kama alimuahidi urafiki wa kudumu mtu aliyejaribu kumhonga basi tatizo ni kubwa sana. Kwa utetezi wako ni kuwa alimpeleka Wenje kwenye Kamati Kuu kwa sababu Abduli hakutimiza ahadi ya kumlipa deni lake. Sio kwa sababu alijaribu kumhonga!Lissu alikataa RUSHWA ya Abduli mtoto wa Samia, na kumwambia mwambie Mama yako anilipe fedha zangu HALALI.
Tunataka viongozi wa aina hii kataka vyama na taifa kwa ujumla.
View attachment 3193239
Lissu angekuwa ni mla RUSHWA only God knows aliahidiwa ngapi...
Wenje alisema kuwa alienda na Abduli kwa Lissu katika juhudi zake za kumsaidia alipwe deni lake. Na akasema alikuwa anategemea kuwa Lissu angemlipa pesa alizomkopesha mara atakapolipwa madai yake.Mimi sikiwepo ila Lissu mwenyewe katangaza kwenye vyombo vya habari, na kama ni uongo Abduli mtoto wa Samia angekanusha na kumfungulia mashataka Tundu Lissu.
Wenje nae alitangaza kwenye vyombo vya habari kuwa alienda na Abduli mtoto wa Samia Nyumbani kwa Lissu.
Tumia akili Bro...
Lissu amekanusha kata kata kudaiwa na Wenje kwenye mtandao Club House Wenje ni mla RUSHWA alimpeleka Abduli mtoto wa Samia nyumbani kwa Lissu ili kwenda kumpa RUSHWA Tundu Lissu.Na akasema alikuwa anategemea kuwa Lissu angemlipa pesa alizomkopesha mara atakapolipwa madai yake.
Safi sana. Mbowe is now a political carcass.Natamani
1. Lissu - Mwenyekiti
2.Heche - M/mwenyekiti
3. Lema - Katibu mkuu
Na ninyi ndiyo mnasababisha Mjomba wenu Mbowe aoge mitusi humu mitandaoni.Mtahangaika sana ila mwisho wa siku sisi kama Ukoo tumemwambia mjomba Mbowe alinde kikoba chetu kwa jasho na damu.
Kumbe taarifa zote ni za Clubhouse?Lissu amekanusha kata kata kudaiwa na Wenje kwenye mtandao Club House Wenje ni mla RUSHWA alimpeleka Abduli mtoto wa Samia nyumbani kwa Lissu ili kwenda kumpa RUSHWA Tundu Lissu.
Katibu mkuu bila elimu? Hauko seriousNatamani
1. Lissu - Mwenyekiti
2.Heche - M/mwenyekiti
3. Lema - Katibu mkuu
Wafuasi wa chadema wanazingua sana lissu aliwaita muandamane hamkutoka!Usaliti upi..? Mtu miaka 20 haja ingiza chama ikulu na mbinu zake zimefell why asipumzike sasa
Mkuu wengine tupo vijijin unaandamania wapiWafuasi wa chadema wanazingua sana lissu aliwaita muandamane hamkutoka!
Huko huko!Mkuu wengine tupo vijijin unaandamania wapi
Wenje alijua kuwa kutokana na huyo Dogo ni mtoto wa raisi huenda Lissu angelainika lakini kwa mshangao wake Lissu aliitolea nje RUSHWA hiyo na kuianika kwenye Vyombo vya habari.Hivi wewe inakuingia kichwani kabisa mla rushwa Wenje kwa jinsi anavyomjua Lissu angempeleka Abdul kwake i