PreGE2025 John Heche: OCD mimi sio Mke wako, nasema huna chakunifanya hii nchi sio ya Mama zenu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hili li Heche ni lipumbavu sana, halina adabu!!
 
Wako km makahaba wanajipendekeza bdae lawama, anaweza kupotezwa na maisha yakaendelea. Wapi Mdude, OCD anasubiri maelekezo toka juu, wacha alilie wembe anafikiri hao wananchi watamsaidia. Bure kabisa!
Acha upuuzi kupotezwa kupotezwa, eti anasubiri maelekezo kutoka juu!! Juu ya wapi... Kazi kujipendekeza...hovyo kabisa Heche ongeza sauti
 
Lugha inavukakasi.
Too personal to be politics.
 
Dah

Haya
 
Kabia hapo hapo, Heche, na wao hawana Ethics, wafundisheee,,
 
Nenda kufungue kesi kenge wa kijani unalia lia nini hapa
 
Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Kwa jinsi wanavyofanyiwa mikwara viongozi wa chama hiki;lugha wasemayo ni ya kujihami na ni sahihi wameumizwa kisaikologia sana kwamba wanazuiwa kutumia viwanja,barabara na pengine misafara yao kupigwa mabomu pasipo kosa halafu utegemee waongee kama wanahubiri kanisani?
 
Hata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi

USSR
Wako hivyo, na ndiyo lugha wanayoona inawafaa kuitumia kwa sasa. Nina hakika upande wa Pili, CCM, wana lugha ngumu Kali na sometimes chafu kuliko ya Heche.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…