Hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake, walikuwepo madikiteta hatari akina Magu, mabutu, Bokasa, Chiluba, iddy Amin Dada, Elibashiri, Sadam Hussein, makaburu wa Africa kusini leo hii wapo wapi? Mwisho wa ubaya ni Aibu kubwaWanaona bora wangemkamata Heche siyo Lissu,sasa apo wakimkamata na Heche Wawe tayari kukutana na Lema na Mnyika.
Yaliyotokea Senegal Zambia Ghana Gabon yanaenda kutokea Tanzania sasaWewe ni mpumbavu ,hujui lissu ni Rais wako ajae? Acha Bwabwaja , Mungu sio mwanadamu ,
Achana nae Mkuu. Kama kuna mtu alisema Chadema inasambaza Covid na Ebola na hajafanywa kitu hadi leo, mbona la Heche ni la kawaida tuu.Hicho ndicho kigezo chako kikuu?
Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Nchi sio ya mama zenu ,ni kwetu woteKwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Mungu ataamua ugonvi ni swala mda tu ,asema BwanaYaliyotokea Senegal Zambia Ghana Gabon yanaenda kutokea Tanzania sasa
Ndo alivyokwambiaheche si anakaa kwa wazazi gentleman, hana kitu sasa ataishije na pension yote ya ubunge alipigwa na muhindi?
Kama heche anapatika Lumumba okunamsema mvuta bangi heche kwa mafumbo sio gentleman?
Tumshkuru mheshiiwa rais daktari profesa SSH kwa yote japo yanatia kinyaa.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.
"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"
Kuna kosa gani katika matamshi yake? Elewa chadema kwa sasa ni ya wananchi.Hata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi
USSR
huyo muungwana ni mvuta bangi anaefahamika na hafich gentlemanKama heche anapatika Lumumba ok
Shida ipo wapi , ndo maana unawapeleka wanao shule ,kwa nini usiwafundishe mwenyewe nyumbani kwako? Hizi idara zipo sio kwa bahati mbaya bali ni mgawanyo katika TaifaMikwara kibao kwenye Microphone usiku ukiskia kijiko kimeanguka unakimbilia kupost twitter kuwa kuna watu wanakufatilia.
Sasa kwa nini azuiliwe kuingia mjini? Kuna vitu vinafanyika sio kabisa. Vinasababisha hadi mtu kusema hivyoMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.
"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"
Very cheap argument. Katafute Biblia ya Kiebrania uangalie. Neno "divai" limeandikwa mara 18 kwa muktadha tofauti. Kaangalie neno "divai" lililotumika kwenye Harusi ya Kana halafu ulete tafsiri yake.Ile divai ya Bwana Yesu ya pale Kana ilikuwa divai njema. YESU hawezi tengeneza kilevi kisha akataze ULEVI. Kuna divai isiyochachwa kama vile Ile mikate ya pasaka isiyochachwa. So don't try to deceive yourself !
safi sana hecheHata lisu alikuwa hivi hivi sasa watu wana sema anaonewa haya matamshi sio ya kumwambia mwanaume mwenzako ,mdude alianza hivi hivi
USSR
Siwezi kuongozwa na punguani kwasababu mimi sio nyumbu kama wewe.Wewe ni mpumbavu ,hujui lissu ni Rais wako ajae? Acha Bwabwaja , Mungu sio mwanadamu ,
Hivi unajua uonevu wanaofanyiwa hawa jamaa? Au unaongea tu kama juha!!Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Kwa hiyo huyo OCD na mwenzie KIHONGOSI wana haki ya kuzuia baadhi ya Watanzania kuingia huko mjini kwao kisa ni wa chama tofauti na wao?!Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!