Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Sasa mungu ndo ameamua ,basi mseme Mungu ni pungani, hujui DuniaSiwezi kuongozwa na punguani kwasababu mimi sio nyumbu kama wewe.
Na alewe sio mme wa mh Hehe, na hawezi mpangia mh Heche nini afanye akiwa na mke wake.OCD anatumika vibaya.
Punguani ni Mimi au wewe inayeamini eti Mungu kaamua. Alimwambia hawara ya mamaako sio?Sasa mungu ndo ameamua ,basi mseme Mungu ni pungani, hujui Dunia
Ila anayefunga njia watu wasiingie mjini yeye ana maadili!!slccm wanaendesha siasa kishamba sana!!na ndio hupelekea watu wengi waipende cdm!!Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Ufuta debe 25,000/- kwa sasa mmeua benki ya kilimo baada ya Crdb Leo inakuja benki ya ushirika,ya kilimo ya nini,kwanini deni la taifa 150trilion na hamsemi,hivi nani kakwambia Bibi kidude ana sifa ya kugombeaGentleman,
soko la karanga, maharagwe na njegere ni la uhakika na bei yake hua haishuki bali hupanda mwaka hadi mwaka na hatima kuinu kipato na hali za maisha ya wakulima
Kweli huu NI ulimbukeniKihongosi anabana nini wakati wenzake wa mikoa mingine waliachia? Huko ni kutaka kuonekana kwamba anaiweza chadema? Ushenzi mtupu anafanya
Jokate kwa aliyoyafanya nyuma alikuwa na unachoita ethicsNeno Ethics unalielewa lakini?
Mhudumu wa hoteli gani dada!!?Nafanya kazi ya kuvaa shati jeupe, kuchomekea na tai nzuri!
Mijutu yenye midomo ya ovyo namna hii haifai kupewa hata kuongoza sebule ya nyumba.Hawa ndio Chadema kweli ? mbona wanatoka nje kabisa ? mtu akishaanza kuongea habari ya 'mama zenu' ujue ameshaingia kwenye hatua nyingine.Watanzania ,kweli tuwavumilie watu hawa ? Jamani ,hata mbwa wa Polisi ana nidhamu.Tumuombe Mwenyezi Mungu ,Mola mlezi ,atuepushe na huu msiba .Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akaanga vibaya OCD mbele ya umati wa wafuasi wa Chama hicho.
"Natamani ningekuwa na muda na hayo maelekezo unayopokea kwa Kihongosi, ningekuwa na muda ningepambana na wewe tuone ungenifanya nini mimi sio mke wako, huna cha kunifanya"
Walio mature ndo wanaoteka na kupotezaa watanzania wenzenu na mnaona ni sawa! What a shame!.Kwa bwatu namna hii halafu upewe nchi?
Ethics za chama gani zinaruhusu mtu kutoa povu kama vile hujawa matured!
Ila "malaika" wenye dhamana ya kulinda usalama wetu, kisha wakageuka na kuanzia kuteka na kutupoteza ndo wenye haki ya kuongeza nchi hii!, What a shame?Mijutu yenye midomo ya ovyo namna hii haifai kupewa hata kuongoza sebule ya nyumba.Hawa ndio Chadema kweli ? mbona wanatoka nje kabisa ? mtu akishaanza kuongea habari ya 'mama zenu' ujue ameshaingia kwenye hatua nyingine.Watanzania ,kweli tuwavumilie watu hawa ? Jamani ,hata mbwa wa Polisi ana nidhamu.Tumuombe Mwenyezi Mungu ,Mola mlezi ,atuepushe na huu msiba .
Upole wa sa 100 u wapi? Huyu anayeongoza magenge ya utekaji na upotezaji wa walimpa kodi wake? Hopeless kabisaHawa ni watu wa kuwatenganisja kichwa na kiwiliwili dip wa kuwapa muda wa kusimama majukuani Samia no mpole sana atupe kazi tumpunguzie matusi kwa kuficha vichwa hivi