Hii vita mngeiacha sasa haina maana yoyote kwa sasa maana wote ni wahanga wa ccm kubalini kutokukubaliana mambo yasongeHaswa.
Hauoni kuwa hiyo ni the pot calling the kettle black? Kuna tofauti gani kati ya mimi na wewe ambae hausikii wala kuona linapokuja suala la Lissu?
Huo udhalilishaji unaozungumzia wa Mbowe ulikuwa orchestrated na huyo unaemtetea? Kuanzia ku insinuate kuwa Mbowe ni corrupt aliyehongwa na wakina Abduli. Alipoambiwa atoe ushahidi akasema aliyemwambia ni RIP. Ali hint ( ni too much of a lawyer kusema moja kwa moja) kuwa Mbowe alitumia pesa za Abduli kumuengua Msigwa katika uongozi. Msigwa huyo huyo akakimbilia kwa wakina Abduli. Alisema Mbowe hatafanikisha uchaguzi huru na kudai kuwa tayari ameanza kuuhujumu. Alikataa kuhudhuria mikutano ya kamati kuu. Alikataa kushiriki katika kampeni za uchaguzi wa chama chake katika uchaguzi wa 2024. Alimsingizia Mbowe kuwa ametumia pesa za chama kujinunulia gari. Na mambo mengi ya ajabu ajabu. Mimi binafsi siwezi kumkubali mtu wa aina hiyo.
Aliweza sana kusimama na kumsema yule binti wa Nkasi. Aliweza sana kumtimua Catherine Ruge kwa sababu hakukubaliana nae. Aliweza kuhakikisha wote waliompinga wanashughulikiwa au wana nyamazishwa. Kiongozi mzuri anapimwa kwa hatua anazochukua mwanzo wa uongozi wake. Lissu alishindwa kwenye hilo kwa kushindwa kwake kuunganisha chama chake. Chadema imemgeuza Mbowe kuwa adui kuliko Samia. Mtu ambae alikipigania na kukifikisha chama mahali ambapo kilipo sasa hivi. Kwa mtazamo wangu ni kuwa ingawa sipingi kuwa Lissu ni courageous lakini ana chembe chembe za udikteta. It is either my way or the highway. Ni tofauti sana na Mbowe ambae alikuwa anakubali kukosolewa.
Heri kuwa partisan kuliko kuwa cultish.
Usiniwekee maneno mdomoni. Ishu hapo sio Mbowe kutokuwa kiongozi ( ingawa kama mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu anabakia kuwa kiongozi), la hasha. Mbowe alishindwa uchaguzi na Lissu fair and square. Kama vijana waliopo sasa wanashindwa kufanya yaliyokuwa yakifanywa wakati wa Mbowe, tatizo ni la uongozi wa sasa. Usingeendekeza visasi visivyo na maana yote haya yasingetokea.
Huo ni msimamo wako. Lakini mimi natofautiana na wewe maana wakati wote mambo yalipokuwa magumu alikuwa anapotea conveniently. Kama ilivyo kwa viongozi wengi wa sasa. Wengi walionekana katika maandamano yaliyoidhinishwa na serikali na mara chache katika ile ambayo haikuidhinishwa. Viongozi waliopota hawakusubiri idhini. Watu kama Husna walipandisha bendera ya Chadema Chato wakijua thika yatakayoweza kuwapata. Wa sasa hivi wanabakia kulalamika tu.
Mnacho sahau ni kuwa hamna kiongozi anaeweza kusimama mwenyewe. Anahitaji kuwa na timu yenye weledi na iliyokuwa huru kumpa ushauri sahihi. Ofisi ya Katibu Mkuu sio Mnyika peke yake, ni timu yote iliyokuwa nyuma yake. Mpaka sasa hivi siwezi kuilinganisha na timu aliyokuwa nayo wakati wa Mbowe.
Mbowe ana mapungufu yake lakini ni kiongozi aliyekuwa na uwezo wa kuwainua na kuwa inspire waliokuwa chini yake. Hilo halipingiki.
Naombea Lissu katika muda huu aliokaa ndani awe ameona hilo na awekeze juhudi zaidi katika kuwahakikishia wenye mapenzi na chama chake wana nafasi katika chama hicho hata kama hawakubaliani nae 100%.
Amandla...
Sio vita. Ni kubadilishana mawazo. Mijadala kama hii ilikuwa kawaida JF. Mnatofautiana kwa kuheshimiana. Shida siku hizi tukitofautiana ni lazima tutukanane. Na ndivyo ilivyo katika jamii yetu.Hii vita mngeiacha sasa haina maana yoyote kwa sasa maana wote ni wahanga wa ccm kubalini kutokukubaliana mambo yasonge
Unilinganishe mimi na unazi ulionao wewe kwa Mbowe, mtu ambaye kapoteza hadhi yote aliyojijengea miaka yote?Hauoni kuwa hiyo ni the pot calling the kettle black? Kuna tofauti gani kati ya mimi na wewe ambae hausikii wala kuona linapokuja suala la Lissu?
Thubutuuu. Hao wanaandamania nyuma ya keyboard tuMbona Octoba hukutoka mkuu? au uko nje ya nchi. Ungevunjwa hata mguu tungeona kweli uko serious!! 🤣
Unajuwa vipi kuwa sikutoka.Mbona Octoba hukutoka mkuu? au uko nje ya nchi. Ungevunjwa hata mguu tungeona kweli uko serious!! 🤣
Wewe ulikwenda mitaani kuwaua waTanzania, ndiyo maana upo humu leo?Thubutuuu. Hao wanaandamania nyuma ya keyboard tu
Kelele hizi ungekuwa unajitokeza na kwenye maandamano bila shaka ungeshaikomboa nchiWewe ulikwenda mitaani kuwaua waTanzania, ndiyo maana upo humu leo?
Hivi vitisho usifikiri ndiyo kinga itakayowaacha salama nyie.
NonsenseMakamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, ametoa wito mzito kwa vijana na wanaharakati nchini kuanzisha kampeni kabambe ya kudai uhuru wa Tundu Lissu.
Akizungumza leo Aprili 9, 2026, kupitia baraza la kidijitali, John Heche amesisitiza kuwa muda wa kulalamika chini kwa chini umekwisha na sasa ni wakati wa kuchukua hatua madhubuti za kitaifa.
Kiongozi huyo amewataka vijana wanaodai kuunga mkono harakati hizo kuacha kusemea pembeni, badala yake waanzishe kampeni kubwa kwenye mitandao ya kijamii na mitaani.
Ameelekeza kuandikwa na kubandikwa kwa vipeperushi kila kona ya mtaa ili kuonyesha mshikamano kwa Lissu ambaye amekaa ndani kwa mwaka mzima kwa tuhuma za uhaini. Jambo hili John Heche ameliita kuwa ni kumvua haki kiongozi huyo aliyekuwa akiwapigania wananchi bila kuwa na hatia yoyote.
John Heche amebainisha kuwa kampeni hiyo inalenga kumpa Lissu nguvu na imani kuwa watu anaowapigania ni sahihi na wako naye. Hata hivyo, ametoa onyo kali kuwa iwapo sauti yao haitasikilizwa kupitia kampeni hiyo, basi CHADEMA wataanzisha maandamano makubwa nchi nzima. Amesisitiza kuwa hawawezi kuendelea kukaa kimya wakati kiongozi wao akiteseka gerezani kwa mwaka mzima, akiamini kuwa ni lazima nchi itikisike ili haki itendeke.
Wanasema ukimnyooshea mtu kidole vinne vinakunyooshea mwenyewe. Inawezekana kuwa Mbowe amepoteza hadhi machoni mwako lakini bado kuna watu wengi bado wanamheshimu. Kutaka mtazamo wako uwe wa wote ni ishara ya kuwa uko kwenye cult na unazi mpofu. Wewe sio msemaji wa jamii.Unilinganishe mimi na unazi ulionao wewe kwa Mbowe, mtu ambaye kapoteza hadhi yote aliyojijengea miaka yote?
Ni kweli siwezi kusoma yote uliyoandika kama vile wewe hauwezi kusoma yote niliyoandika. Mimi najibu uliyoandika leo na hivi karibuni ulipokuwa unajadiliana na mimi kuhusu Lissu. Kwangu mimi, pasipo shaka, wewe ni mshabiki kipofu wa Lissu.Najuwa huwezi kuwa unasoma kila niliyokwishaandika humu JF; lakini ukitaka kujihakikishia unaweza kutafuta maandishi yangu kumhusu Lissu humu na utakuta kwamba sina ushabiki wa kinazi kwa mtu yeyote.
Naam. Lakini hilo halimzuii kuwa dikteta kwa wale ambao anatofautiana nao. Yeye sio Mungu na kuna wakati anakosea. Kuendekeza visasi na kupenda kutukuzwa ni unyonge wake. Nyerere alikuwa na msimamo thabiti kwenye kutetea haki ya wananchi wake. Lakini hiyo haiondoi ukweli hakuwatendea haki watu wengi ambao walitofautiana nae. Jina la haambiliki halikutokea tu hewani.Pamoja na mapungufu yote aliyonayo Tundu Lissu; huwezi kumwondolea sifa ya kuwa na msimamo usioyumba katika kupigania HAKI za watu, hasa wanaoonewa.
Msimamo upi shupavu? Na Mbowe karubuniwa kipumbavu kwenye lipi? Huko unakosema kurubuniwa ndio kumemfanya Lissu aweze kurudi na wanachama wengi wa Chadema waliokuwa ndani kutolewa gerezani na kufutiwa kesi zao. Huko kurubuniwa kipumbafu ndio kumeiwezesha Chadema kuweza kuwa na Makao Makuu. Unaweza kusema kuwa yeye ndie aliyerubuniwa na watu kama Lissu na Heche ambao pamoja na kuona mchango wa Mbowe kwa macho yao leo wanaangalia tu anapozodolewa na watu kama nyie? Wamefikia hatua ya kujaribu kukana mchango wa Mbowe katika kuokoa maisha ya Lissu alipopigwa risasi?Matatizo yooote aliyokutana nayo huko nyuma na hadi sasa yanatokana na msimamo wake huo imara; na hajarubuniwa kipumbavu kabisa kama alivyofanya Mbowe.
Sasa kwa nini unaijibu? Wewe siku zote unaujua uandishi wangu sasa kwa nini unajibu mabandiko yangu kama hauna muda nao.hiyo mizungushano yako mingine ya mabandiko marefu nilishasema huwa sina muda wa kupoteza nayo.
Usiwe na kiherehere, subiri utakiona cha moto.Kelele hizi ungekuwa unajitokeza na kwenye maandamano bila shaka ungeshaikomboa nchi
Kwa kipimo chochote kile unachoweza kukitumia, hadhi ya Mbowe kama kiongozi ndani ya taifa hili ilipotea kabisa baada ya kununuliwa kijinga kabisa na huyo mwanamke ambaye ni zero kabisa.owe amepoteza hadhi machoni mwako lakini bado kuna watu wengi bado wanamheshimu. Kutaka mtazamo wako uwe wa wote ni ishara ya kuwa uko kwenye cult na unazi mpofu. Wewe sio msemaji wa jamii.
Huu ni mwiko kwangu.Nitashukuru sana kama hautanijibu ili nisilazimike kuandika gazeti lingine.
Hayo ni maoni yako. Sio yangu. Mpaka sasa hivi haujaweza kutoa ushahidi wowote wa kununuliwa kwa Mbowe isipkuwa kuregurgitate tropes ambazo kwa mawazo yangu mimi binafsi zinaonyesha ulivyo cultist.Kwa kipimo chochote kile unachoweza kukitumia, hadhi ya Mbowe kama kiongozi ndani ya taifa hili ilipotea kabisa baada ya kununuliwa kijinga kabisa na huyo mwanamke ambaye ni zero kabisa.
Hauoni unavyo ji contradict? Mimi sijakuamrisha usisome wala kujibu bandiko langu. Wewe ndie uliyesema kuwa hauna muda wa kusoma ninachoandika. Mimi sina tatizo kabisa na wewe kusoma na kujibu mabandiko yangu ambayo bila shaka inakutia kichefuchefu. Hivyo hivyo, mimi nitakujibu nikiona unachoandika sio ingawa wakati mwingine huwa naamua kunyamaza tu. Hizo ni hazi zetu, wewe na mimi. Hakuna anaye muamrisha mwingine.Huu ni mwiko kwangu.
Nikiona takataka yoyote popote nitaigusa nitakavyoona inafaa. Siwezi kuamrishwa nifanye nini.
"Mbowe achafuliwe"?Mbowe ila siwezi kukubali achafuliwe kwa sababu tu watu
Tunarudia pale pale, kajichafua vipi? Kwa kukubali mualiko wa Samia kwenda Ikulu baada ya kutoka rumande? Huko alikozungumzia suala la haki? Na hamna anayepinga kuwa alipotoka kule aliwaeleza viongozi wenzake ( wakiwemo Lissu na Heche ambae alimuingiza kwenye Kamati Kuu pamoja na kuwa alishindwa katika uchaguzi wa Uenyekiti wa kanda yake) kuhusu yaliyojiri."Mbowe achafuliwe"?
Naona hata hujui maana ya kuchafuliwa ni nini.
Mbowe kajichafua mwenyewe; hakuna aliyemchafua.
Utakuwa na matatizo ya mahaba kama huelewi alivyojichafua Mbowe.Tunarudia pale pale, kajichafua vipi? Kwa kukubali mualiko wa Samia kwenda Ikulu baada ya kutoka rumande? Huko alikozungumzia suala la haki? Na hamna anayepinga kuwa alipotoka kule aliwaeleza viongozi wenzake ( wakiwemo Lissu na Heche ambae alimuingiza kwenye Kamati Kuu pamoja na kuwa alishindwa katika uchaguzi wa Uenyekiti wa kanda yake) kuhusu yaliyojiri.
Huo ndio ukweli wenyewe; maana naona mizungushano tu wa mambo yaleyale yaliyokwishazungumziwa humu siku zote. Hakuna lolote jipya.Natumaini kama kawaida hautasoma hili bandikokwa sababu ni refu.