Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Nilijua hauwezi kujizuia kunisoma.Utakuwa na matatizo ya mahaba kama huelewi alivyojichafua Mbowe.
Hapo hatuna tofauti maana hata wewe hautaki kusikia lolote dhidi ya unaemshabikia.Hatuwezi kuwa tunarudiarudia kueleza mambo yale yale kwa mtu ambaye akili yake imezibwa kwa mahaba ya anayemshabikia.
Tangu lini kushindwa kwenye uchaguzi ni kudhalilika. Trump alishinda kwa kishindo na sasa hivi wako wengi wanaojutia kura zao. Na unasahau kuwa tofauti ya kura kati yake na Lissu haikuzidi 10. Ule uchaguzi haukuwa full throated endorsement ya Lissu. Lissu alitakiwa kutambua kuwa kuna idadi ya kutosha iliyokuwa inamuunga mkono. Kuongoza kama vile alipata 98% ya kura ndio kumemponza.Mbowe si alishindwa kwenye kura za uongozi wa chama. Hilo pekee halitoshi kukueleza kuwa walioshiriki kwenye uchaguzi huo waliona dosari za mabadiliko yasiyokuwa ya kawaida katika historia ya uongozi wake?
Mimi narudia kwa sababu naona unachosema hakina mashiko. Sina uwezo wa kukulazimisha kuendelea na mjadala. Kama umechoka uko huru kuachana nao.Unataka tuzungukezunguke tuuu humo humo kuelezana mambo ambayo kila mara tumeyasema?
Hii nayo ni mbinu ya kuchoshana kwenye mijadala, au ni kitu gani hiki!
Nasoma unapoanzia na unapoishia, basi.Nilijua hauwezi kujizuia kunisoma.
Chadema sio waandamanaji. Bila kupewa kibali na serikali hawajitokezi.Kuna Kenge washaanza kusema ati hawataki maandamano kisa kesi ipo mahakamani tusubiri.
Kama mnavyojua CCM washaanza kupitisha hela aka ngawila kwa baadhi ya makada wa CDM - kipindi cha mavuno kishaanza, neema imefinuliwa.
Unataka uambiwe mara ngapi?BTW haujajibu hata hoja moja niliyoileta zaidi ya kusema tu kuwa Mbowe alijidhalilisha. Nilitegemea zaidi kutoka kwako. Unfortunately, unaongea kama chawa katika hili suala.
Halafu ulivyokuwa hodari unajibu mambo yaliyo katikati bila ya kuyasoma. Hongera sana.Nasoma unapoanzia na unapoishia, basi.
Haujajibu. Kusema kuwa umejibu hakumaanishi kuwa umejibu. Au haujaeleweka. Ili kukata mzizi wa fitna weka quotes za mahali ulipojibu.Unataka uambiwe mara ngapi?
Huko unakokuita kukata mizizi kwa mtu kama wewe hakupo inapomhusu Mbowe, hili nililitambua toka siku nyingi humu.Haujajibu. Kusema kuwa umejibu hakumaanishi kuwa umejibu. Au haujaeleweka. Ili kukata mzizi wa fitna weka quotes za mahali ulipojibu.
Amandla...
kama hayo yaliyo katikati yanaendana na fikra zangu, nisiziweke ilizisionyeshe kuwa nimesoma katikati?Halafu ulivyokuwa hodari unajibu mambo yaliyo katikati bila ya kuyasoma. Hongera sana.
Amandla...
Hauna ushahidi. Haujawahi kuweka kitu kama hicho. Una rudia rudia tu yanayoandikwa na cultists wengine. Ungekuwa nao ungeweka ili kuninyamazisha.Huko unakokuita kukata mizizi kwa mtu kama wewe hakupo inapomhusu Mbowe, hili nililitambua toka siku nyingi humu.
Sasa kwa nini usikiri tu kuwa umesoma? Unajibu point kwa point halafu unasema haujasoma? Huo ndio unafik.kama hayo yaliyo katikati yanaendana na fikra zangu, nisiziweke ilizisionyeshe kuwa nimesoma katikati?
Kwani nikitoka natakiwa kuripoti kwako? Chawa usiye na uwezo wa kujenga hoja nakupuuza.Lkn ulitoka Oktoba 29 wewe unayejitambua?
Mambo ya mbowe vs lissu yashaisha nguvu zielekezwe sehemu moja maana hata mjadili vipi lisu ndio mwenyekiti na mbowe ni mstaafu kwa sasa nguvu zielekezwe against ccm ndo wahanga wa vyama pinzani vyote nchiniSio vita. Ni kubadilishana mawazo. Mijadala kama hii ilikuwa kawaida JF. Mnatofautiana kwa kuheshimiana. Shida siku hizi tukitofautiana ni lazima tutukanane. Na ndivyo ilivyo katika jamii yetu.
Amandla...
Ulitoka ukaandamana jf.Kwani nikitoka natakiwa kuripoti kwako? Chawa usiye na uwezo wa kujenga hoja nakupuuza.
Cha moto humu jf?Usiwe na kiherehere, subiri utakiona cha moto.
Wewe unaonaje? Itapendeza sana ukanipa location na picha yako nikufuatilie siku utakayoandamana ili nikufanyie coverage.Ulitoka ukaandamana jf.
Na sasa unataka waende field wengine wewe urudi hapa kuripoti
Kaka, wewe unaona ni sahihi kwa Serikali kuwa juu ya Sheria?Lissu ataachiwa ila subirini dawa imuingie vizuri..... huwezi kushindana na serikali ukashinda.
Uko sahihi. Lakini ukweli ni kuwa Chadema haiwezi kuing'oa CCM bila kuunganisha nguvu na wale waliotofautiana nao. Imefika mahali Chadema iko tayari CCM ishinde uchaguzi kuliko Ruge ashinde.Mambo ya mbowe vs lissu yashaisha nguvu zielekezwe sehemu moja maana hata mjadili vipi lisu ndio mwenyekiti na mbowe ni mstaafu kwa sasa nguvu zielekezwe against ccm ndo wahanga wa vyama pinzani vyote nchini
Hiyo ndio chungu tamu ya democracy lazima mkubali, siku zote kushinda ni mbinu kwahiyo mbinu ya lisu ilikuwa hiyo nyie mlioshindwa tafuteni mbinu nyingine kwa uchaguzi ujao kwa sasa ungeni juhudi za mwenyekiti aliekuwepo mjenge chamaUko sahihi. Lakini ukweli ni kuwa Chadema haiwezi kuing'oa CCM bila kuunganisha na wale waliotofautiana nao. Imefika mahali Chadema iko tayari CCM ishinde uchaguzi kuliko Ruge ashinde. Majeraha hayatapona kama Chadema inaendelea kukaa kimya ( na wakati mwingine kuunga mkono) pale waliokuwa wanachama wao na hata Mwenyekiti aliyeshindwa uchaguzi wanapozodolewa na kutukanwa. Mshindi mara zote atakuwa CCM.
Inaelekea kwa Chadema ya sasa ni heri CCM aendelee kutawala kuliko Chaumma au ACT-WAZALENDO washinde uchaguzi. Hapo ndipo ninaposhindwa kuwaelewa.
Amandla...