John Heche vs Dkt. Slaa: Je, ni kweli utekaji, kupotea kwa watu na kupigwa risasi Tundu Lissu Septemba, 2017 ni 'INSIDE JOB' ya CHADEMA wenyewe?

Hakika..

Kiini cha haya yote, ni vita ya kisiasa ya vyama vikuu viwili CHADEMA vs CCM..

Kutengeneza team za kivyama mitandaoni kwangu mimi is 🚫 not a problem..

Nilicho na uhakika nacho ni kimoja, kwamba, timu isiyo na hoja itajifia yenyewe maana itakosa wafuatiliaji..

Timu za ki CCM siku zote huwa hazifiki popote maana hawana jipya la kutuambia..!!
 
Labda ni sehemu ya makubaliano yao mara alipoamua kuingia serikali kushirikiana na watesaji, kuwa, afanye kila awezalo kuharibu image ya CHADEMA..

Lakini lililo la uhakika ni hili, ameshindwa na atashindwa spectacularly. Kama CHADEMA imeshindwa kuangushwa na "kesi ya ugaidi wa Mbowe", what else will make this party fall 👎👎👎?

Absolutely, NOTHING...!
 

Hili swali CCM na polisi hawajiulizi..

Kwa kauli za Polisi na serikali kwa ujumla, ni kana kwamba, CHADEMA haichunguziki. Yaani polisi wamebaki wakibweka tu kama mbwa 🐶🐶 koko wakifuatisha kila propaganda za CCM na kuzigeuza kuwa ndiyo kauli ya kipolisi..!
Absolutely, Yes...

But, the good thing is that, their stupid games is well known to all great thinkers. People can't be easily wiped away by their cheap propaganda..!
 
Hakika..

Kiuhalisia na kimsingi, Dr Slaa hana hoja. Hajafanikiwa na hatafanikisha lengo lake na waliomtuma..

Na kiukweli, hapa anajaribu kuwaanika na kuanika udhaifu wa waliomtuma huku yeye akifikiri otherwise..

Haingii akilini kwa sababu, kama kwa miaka 15 au zaidi aliripoti tukio polisi lakini polisi wakanyanazia, maana yake nini..?

Maana yake ni moja tu, kuwa; "...we Dr Slaa vipi? Kwanini ulete kesi hii kwetu? Sisi kwa maelekezo ya "bwana zetu" ndiyo engeneers wa mpango mzima. Hatuwezi kujichunguza wenyewe..!!!!"

Ndiyo maana mpaka leo polisi kimyaaa...

Tukio hili ni similar na la Tundu Lissu, mpaka leo hii, polisi kimyaaa kwa sababu wao na mabwana zao NDIYO WAHUSIKA wa mpango mzima...!!
 
Hakika..

Kiuhalisia na kimsingi, Dr Slaa hana hoja. Hajafanikiwa na hatafanikisha lengo lake na waliomtuma..

Na kiukweli, hapa anajaribu kuwaanika na kuanika udhaifu wa waliomtuma huku yeye akifikiri otherwise..

Haingii akilini kwa sababu, kama kwa miaka 15 au zaidi aliripoti tukio polisi lakini polisi wakanyanazia, maana yake nini..?

Maana yake ni moja tu, kuwa; "...we Dr Slaa vipi? Kwanini ulete kesi hii kwetu? Sisi ndiyo engeneers wa mpango mzima...!!!!"

Ndiyo maana mpaka leo polisi kimyaaa..

Cha ajabu na kwa ujasiri kabisa, Dr Slaa anatoka na kubwabwaja mitandaoni kana kwamba wanaosikiliza hawana akili wala ufahamu...!

Tukio hili ni similar na la Tundu Lissu, mpaka leo hii, polisi kimyaaa kwa sababu wao na mabwana zao NDIYO WAHUSIKA wa mpango mzima...
 
.......cha ajabu, POLISI wenu walishashindwa kuuona umafia wa hao watu!

.......cha ajabu POLISI wenu walishashindwa kuyaona hayo "maovu" yanayofanywa na hao mafia wa CHADEMA!

....kuna kila kila ishara kuwa ufahamu na uelewa wako wa kuchakata mambo ni mdogo sana kiasi cha kulingana na ule wa panya..!

...pole sana!
 
Umeongea vizuri sana mkuu, huyu mzee lipo Jambo alikua ameandaliwa kuja fanya Mbowe akiwa ndani, ila Ndo ivyo upepo umeisha geuka

Anajifanya ana misimamo ,Kama kweli ndio misimamo yake mbona ataki sema dili lake kuanzia TOKA nchini mpaka kua BALOZI ilokuaje ,
Huyu wa kuzalau Sana Hana lolote ,na Kama alisaliti kanisa lake katoriki vipi ashindwe wasaliti watanzania wenzake ?

Yani miaka inaenda alafu eti anajifanya miaka imesimama
 
Tatizo analazimisha nguvu ya ushawishi aliokua nayo miaka flan ambayo imeyeyuka Kama balafu, amekua debe yup Sasa ,huwezi ongea ujinga KWa fikra kwamba watz ni wajinga , SLAA sio mda atajua hajui,ufalme wa Mungu wake umekataliwa ,very shame
Amelaaniwa toka amefika toka Sweden hajawahi kufika kwao Karatu
 
Kaka Pascal, neno VITUMBUA umeliona wapi kwa uliyemnukuu bhana? Kasema KITUMBUA bwn, sio VITUMBUA; hu mtindo wa kulishana maneno sio mzuri. Joke
 

Slaa kachananyikiwa. Haiwezekani jeshi la polisi, usalama wa taifa na nchi kwa ujumla uchafuliwe na wahuni wa chadema nao wakaka kimya. Mambo yote ya mauwaji na kulotea kwa watu lawama zote zilipelekwa kwa usalama wa taifa na jeahi la polisi. Kama Slaa anatoa hizo tuhuma ndio nafasi ya kujisafisha kwa vyombo vyetu vya usalama. Inakuwaje hawa hukuhi hatua yoyote ile na dr. Slaa anao ushaidi wa kutosha
 
Kaka Pascal, neno VITUMBUA umeliona wapi kwa uliyemnukuu bhana? Kasema KITUMBUA bwn, sio VITUMBUA; hu mtindo wa kulishana maneno sio mzuri. Joke
Kitumbua ni kimoja, vitumbua ni vingi, nimeita vitumbua kwasababu muuza vitumbua hawezi kupika kitumbua kimoja ni lazima viwe vitumbua, chapati au andazi ndio unaweza kupika chapati moja lakini huwezi kupika kitumbua kimoja bali ni vitumbua!
P
 
Sijawahi kufika Sweden lakini kuna ndugu zangu walienda 2019 walibeba unga na dagaa wakawa wanapika vyakula vya asili
Sio Sweden tuu, Watanzania popote walipo wanapenda vyakula vya asili, Mimi nikiwa jijini New York sikai hotelini, huwa nakaa Mt. Vernon kwa Mama T. unapikiwa vyakula vya asili vya Kibongo na nsenene kutoka Bukoba pale hawakauki!.

Mimi mwenyewe wife anaishi Maryland, kila watu wakienda anaagiza unga, kahawa korosho kutoka Bongo, hivyo mtu kupika vitumbua yes lakini hakuna mtu wa kumuuzia na mtu wa kununua kitumbua Sweden, hata agawe bure, hakuna wa kupokea!.
P.
 
Wabongo wamezoea ugali mgumu kama jiwe, mkuu kama shem yupo majuu wewe unafanya nini hapa Tanganyika?
 
""Wasiojulikana wanajulikana mchana""Failure is the fabric that discovery is made from.""
 
Ni mwanasheria, ni mwanahabari halafu unakuja na utetezi hafifu hivi kwa Josephine Mushumbusi? Unataka kutuambia Watanzania na wala vitumbua wengine wanapohamishia makazi Sweden wanazuiwa kula vitumbua?
 
Dr slaa ni SAwa na mtu aliemuacha mpenzi wake kisha kapata Bwana mwenye pesa zaidi katumiwa kaachwa sasa anaumia kuona mpenzi wake aliemuacha akiwa na pesa zaidi
 
Huyu mzee kadri anavyotopoka ndivyo anavyozidi didimia shimoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…