Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

Uchaguzi 2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

Waweza kumlinganisha na Bashiru wenu? Leo hafai kwa kuwa maiumbua tume na mchakato wake wa kufoji? Ccm na nec yenu mnazidi kutia aibu!
Hata Trump leo anatoa hoja za kuibiwa kama chadema. Chadema na Trump akili moja.Trump na pampooooooo wake walikuwa kila kukicha Tanzania, Makonda, kutetea mashoga wa bongo leo kakutana kidume Joe Biden kamgegeda kisawasawa
 
mnanivuruga wajameni kwahiyo bunge litakua la ccm au la watanzania mmesha ambiwa uchaguzi umekwishaaa.
 
Chadema ikikubali viti maalumu itakuwa ndio imejichimbia kaburi mazima
 
Mchuano na mabidilishano ya maneno yameibuka mitandaoni hasa akaunti ya Kigogo na Halima kuhusu wabunge wa viti maalum

Kigogo anadai Halima ni moja ya watu wanaosimamia wabunge wa viti maalum wapeleke majina NEC kwa ajili ya kupitishwa huku Halima akikataa tuhuma hizo na kumtaka Kigogo aende kwa waliomtuma.

Kuhusu msimamo wa CHADEMA uliotolewa na John Mnyika ni kwamba hakuna mbunge wa viti maalum aliyepitishwa na chama na kupelekwa NEC ila wanadai NEC wanaandaa majina yao kwa shinikizo kutoka CCM.

Mjadala wa wabunge wa viti maaalum umechukua sura mpya na kuonekana wa muhimu hasa na wanachama wa chama Tawala.

Akaunti nyingi za wanaccm katika mitandao ya kijamii zinawashauri CHADEMA kuteua wabunge wa viti maaalum jambo linalotafsiriwa na wanachadema Kama mtego wa kupata wajumbe wa kamati mbili muhimu bungeni zinazopaswa kuongozwa na upinzani.

Baadhi ya wachambuzi wanaamini CHADEMA kuteua viti maalumu ni kuwasaliti wananchi kwani Uchaguzi uliopita ulionekana kuwa si huru wa haki.

Wanaoamini katika imani tofauti nao wanaona kuwa kuendelea kuruhusu wabunge wa upinzani waingie bungeni ni kuwasaliti waliopo mahabusu, magereza, mahospitalini na uhamishoni na waliopoteza maisha bila hatia.

Upo umuhimu wa viongozi wetu kuchagua utu na kuachana na tamaa za madaraka na fedha, wanawake wameteseka katika harakati za siasa na si sahihi wakajitokeza kusaliti maumivu yao waliopata kutoka kwa hao wanaowaona leo ni wamuhimu. Hawatakufa njaa wavumilie.
 
1604849692182.png


Ya Tanzania yalishaisha saizi tuko ng'ambo
 
CDM - msukumo wa CCM nyie kupeleka hayo ma jina ilikuwa ni oyto tosha la ninyi mfanye nini.

Kumbukeni: "no easy walk to freedom."
 
Chadema wapeleke viti maalum bila hivyo watakaa miaka 5 bila kusikika popote

Na ni very easy kwa serikali kuchukua chama chochote ambacho sio chadema wakakipa nguvu ya kuonekana ni upinzani Makini
CHADEMA ipo ndani ya waumini wa mabadiliko na Demokrasia. Nyie kuleni nchi ije iwale na nyie.
 
Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itifaki na Mambo ya Nje, Jon Mrema kwenye akaunti yake ya twita ameandika kuwapuuza watu wanaoeneza barua ya uongo kuwa Chadema imeteua wabunge wa viti maalumu.

“Watanzania puuzeni UONGO huu , WAZUSHI wapo kazini. .....Wanatapatapa”.

FD0A9A2D-A63F-4CF1-BF23-AFC334D8ED04.jpeg
 
Back
Top Bottom