Babu la Bara
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 529
- 575
Likewise, uongozi hauamuliwi wala kulazimishwa kwa maandamano, au wizi, ila maamuzi ya wananchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni haki yangu kikatiba kuandamanaLazima ulileta vurugu kweli😀 si unaona hata maandamano uliambiwa uache ukakaidi🤨
Yaaan Kuna watu huku wanaongea siasa lakini kichwa hamna kitu.Ruzuku? ...inahusianaje na special seats women?
Hata Trump leo anatoa hoja za kuibiwa kama chadema. Chadema na Trump akili moja.Trump na pampooooooo wake walikuwa kila kukicha Tanzania, Makonda, kutetea mashoga wa bongo leo kakutana kidume Joe Biden kamgegeda kisawasawaWaweza kumlinganisha na Bashiru wenu? Leo hafai kwa kuwa maiumbua tume na mchakato wake wa kufoji? Ccm na nec yenu mnazidi kutia aibu!
sheria inasemaje kuhusu kughushi. waghushi tu alafu tuwapeleke mahakamani serikali ikadharilikeTume wanahangaika nini ?? Siwalitaka CCM ibaki peke yake bungeni?
Tulia wewee nut crackerKigogo kachangia kuimaliza Chadema,
CHADEMA ipo ndani ya waumini wa mabadiliko na Demokrasia. Nyie kuleni nchi ije iwale na nyie.Chadema wapeleke viti maalum bila hivyo watakaa miaka 5 bila kusikika popote
Na ni very easy kwa serikali kuchukua chama chochote ambacho sio chadema wakakipa nguvu ya kuonekana ni upinzani Makini