Join the Chain: Wananchi waanza kujaza kumbi, Lissu kuongoza watoa mada, mtikisiko mkubwa wasubiriwa

Join the Chain: Wananchi waanza kujaza kumbi, Lissu kuongoza watoa mada, mtikisiko mkubwa wasubiriwa

Muamko na hamasa ni kubwa sana kwa wana CDM kukitegemeza chama chao. Ama kwa hakika hii ni "seamless chain" ambayo kila mpenda mabadiliko wa kweli atapenda kuwa sehemu ya "segment" yake.

Wakati wao (wana CCM na vibaraka wao) wanataja ufisadi, wizi wa mali za umma na hujuma dhidi ya demokrasia ili kupata uhalali na uhai wa kisiasa, wana CDM wanataja umoja, utengamano na ushirikiano katika kuimarisha uhai wa kisiasa wa chama chao.

[emoji123][emoji123][emoji123][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji112][emoji112][emoji112]

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Ukiacha habari za uvamizi wa Urusi huko Ukraine, Habari nyingine kubwa ni hii inayoitwa JOIN THE CHAIN iliyoletwa na CHADEMA Tanzania, Huu ni mkusanyiko mzito kuwahi kufanywa na Chadema tangu kuundwa kwake.

Wakati muda ukisubiriwa kwa hamu na wadau wa ndani na nje ya nchi hii hapa ndio hali halisi huko mikoani nchini Tanzania.

Tabora:

View attachment 2130727

Mtwara:
View attachment 2130729

Jinsi ya kufuatilia tukio kubwa la JOIN THE CHAIN , Ni rahisi sana .

YOUTUBE - CHADEMA MEDIA
CLUB HOUSE - CHADEMA TANZANIA
TWITTER - CHADEMA - TZ
FACEBOOK - CHADEMA IN BLOOD

Ukiingia humo tu umejiunga live bila chenga .

Kuanzia saa 10 kamili kwa saa za Tanzania .
Mungu awape hekima mtathmini yafuatayo;
1. Wapi mlikosea kama chama (Rudi kwenye viwango vya Dr Slaa)
2. Nini mnataka katika muda mfupi na muda mrefu ?
3. Watanzania wanataka nini? Msijifanye wamewatuma kudai mnayodai kumbe mnataka kushika madaraka ya Dola tu
4. Je mnao viongozi au mna watukana matusi na wanaharakati?
5. Je chama chenu kinayo Katiba na kina demokrasia
 
Mchawi na roho ya Kimaskini...
 
Muamko na hamasa ni kubwa sana kwa wana CDM kukitegemeza chama chao. Ama kwa hakika hii ni "seamless chain" ambayo kila mpenda mabadiliko wa kweli atapenda kuwa sehemu ya "segment" yake.

Wakati wao (wana CCM na vibaraka wao) wanataja ufisadi, wizi wa mali za umma na hujuma dhidi ya demokrasia ili kupata uhalali na uhai wa kisiasa, wana CDM wanataja umoja, utengamano na ushirikiano katika kuimarisha uhai wa kisiasa wa chama chao.

[emoji123][emoji123][emoji123][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji112][emoji112][emoji112]

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Hiki ni zaidi ya chama cha siasa.

Bravo Chadema
 
Ni aibu kwa CHADEMA kuendelea kupanga pale uchochoroni mtaa wa ufipa.....

Hivi wanashindwaje "kuJOIN THE CHAIN"kwa kuipiga harambee ya kujenga ofisi zenye hadhi ama wanaogopa kuwa "YULE ASIYEPINGWA" atazitafuna tu fedha hizo kama kawaida yake?!!! 🤣🤣

Tofauti ya ccm na cdm ni kuwa ccm wamefaidika na ofisi za urithi, wakati cdm hawakupata bahati hiyo.
 
🤣🤣
Hawana nyimbo hao....

Wenzao CCM wamezindua bonge la chuo cha uongozi pale Kibaha...wao mpaka wapate "VISKOLASHIP" vya wiki tatu tatu kupitia CDU kilichoshindwa vibaya uchaguzi huko Ujerumani.....

Kuzindua Chuo si hoja ,mbona hata kile cha KIVUKONI ni chao na wakashindwa kupata viongozi waadirifu!!! Wakaambulia kuokoteza wakina Sabaya , Bashite , Chalamila, Kingwangalla, Hapi na hata Jiwe mwenyewe! Gabbage in Gabbage out!!
 
Back
Top Bottom