Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #61
Amina..nawapongeza sana Chadema kwa hatua hii.
..MUNGU awabariki sana ktk harakati zenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina..nawapongeza sana Chadema kwa hatua hii.
..MUNGU awabariki sana ktk harakati zenu.
Uongo haitakuondolea umasikini unakukabiliWalikuwa Hawajui bi kitu gani baada ya kuingia ndio wanakuta michango nahisi bada ya hapo wataenda wanapungua kukimbia michango
Mungu awape hekima mtathmini yafuatayo;Ukiacha habari za uvamizi wa Urusi huko Ukraine, Habari nyingine kubwa ni hii inayoitwa JOIN THE CHAIN iliyoletwa na CHADEMA Tanzania, Huu ni mkusanyiko mzito kuwahi kufanywa na Chadema tangu kuundwa kwake.
Wakati muda ukisubiriwa kwa hamu na wadau wa ndani na nje ya nchi hii hapa ndio hali halisi huko mikoani nchini Tanzania.
Tabora:
View attachment 2130727
Mtwara:
View attachment 2130729
Jinsi ya kufuatilia tukio kubwa la JOIN THE CHAIN , Ni rahisi sana .
YOUTUBE - CHADEMA MEDIA
CLUB HOUSE - CHADEMA TANZANIA
TWITTER - CHADEMA - TZ
FACEBOOK - CHADEMA IN BLOOD
Ukiingia humo tu umejiunga live bila chenga .
Kuanzia saa 10 kamili kwa saa za Tanzania .
..nawapongeza sana Chadema kwa hatua hii.
..MUNGU awabariki sana ktk harakati zenu.
Mchawi na roho ya Kimaskini...Mungu awape hekima mtathmini yafuatayo;
1. Wapi mlikosea kama chama (Rudi kwenye viwango vya Dr Slaa)
2. Nini mnataka katika muda mfupi na muda mrefu ?
3. Watanzania wanataka nini? Msijifanye wamewatuma kudai mnayodai kumbe mnataka kushika madaraka ya Dola tu
4. Je mnao viongozi au mna watukana matusi na wanaharakati?
5. Je chama chenu kinayo Katiba na kina demokrasia
Malizeni kwanza kujenga vyoo. Huo mgogoro hauwahusuTuko busy kufuatilia mgogoro wa Ukraine
Amiin..nawapongeza sana Chadema kwa hatua hii.
..MUNGU awabariki sana ktk harakati zenu.
Hiki ni zaidi ya chama cha siasa.Muamko na hamasa ni kubwa sana kwa wana CDM kukitegemeza chama chao. Ama kwa hakika hii ni "seamless chain" ambayo kila mpenda mabadiliko wa kweli atapenda kuwa sehemu ya "segment" yake.
Wakati wao (wana CCM na vibaraka wao) wanataja ufisadi, wizi wa mali za umma na hujuma dhidi ya demokrasia ili kupata uhalali na uhai wa kisiasa, wana CDM wanataja umoja, utengamano na ushirikiano katika kuimarisha uhai wa kisiasa wa chama chao.
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji112][emoji112][emoji112]
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Hiki chama kimejipanga zaidi ya Urusi
HakikaHiki chama kimejipanga zaidi ya Urusi
Mbona kama wapo kwenye kibanda umiza wanaangalia mechi ya Arsenal vs Wolvermptom?
🤣🤣🤣Kusanyiko utafikiri mkutano wa wazazi wa shule za chekechea.......
CHADEMA mnafanya maskhara na SIASA ninyi......
Ni aibu kwa CHADEMA kuendelea kupanga pale uchochoroni mtaa wa ufipa.....
Hivi wanashindwaje "kuJOIN THE CHAIN"kwa kuipiga harambee ya kujenga ofisi zenye hadhi ama wanaogopa kuwa "YULE ASIYEPINGWA" atazitafuna tu fedha hizo kama kawaida yake?!!! 🤣🤣
Hiki ni zaidi ya chama cha siasa.
Bravo Chadema
🤣🤣
Hawana nyimbo hao....
Wenzao CCM wamezindua bonge la chuo cha uongozi pale Kibaha...wao mpaka wapate "VISKOLASHIP" vya wiki tatu tatu kupitia CDU kilichoshindwa vibaya uchaguzi huko Ujerumani.....