Pre GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) kajidhalilisha sana kuungana na Mbowe ili kumkabili Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sugu ni msanii mwenzangu kitaaluma

Empty set inamhusu sana kwenye kumfanyia grading
 
Unamfundisha Jongwe maisha ya siasa za upinzani??
Ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa..anayajua mengi kuliko wewe mleta mada.
Binadam tumeumbwa tofauti kiufahamu, kiujuzi na kifikra.

Anaweza kuwa anajua hili, na mimi namshinda kujua lile.

So mwisho wa siku mjuzi wa kila kitu ni Mungu. Sio jongwe, wewe au mimi.
 
Huwenda sugu amezisoma alama za nyakati ambazo wewe huzijui
Huenda amesoma alama za nyakati kwamba mbowe atatumia ubabe kuendelea na cheo lakini yeye hakutakiwa kuonyesha yuko upande wowote ili wananchi waone kweli wana Chadema wako serious na mabadiliko.
Lakini kitendo cha yeye kuonyesha uchawa kwa mwenyekiti inaonyesha wote ni machawa tu
 
Umeandika maneno ya msingi sana.
 
Hahaha uchaguzi huu ungekuwa mchezo wa mpira au ngumi, ungeingiza pesa nyingi sana.

Na ungekuwa ni mchezo wa kihistoria.

Bado utabaki kuwa uchaguzi wa kihistoria Tanganyika.

ingependeza siku hiyo iwe siku ya mapumziko kitaifa.

CHADEMA iko mioyoni mwa watanganyika.
 
Huo ni mtazamo wako mkuu na kuna wengine wana mtazamo tofauti na wako
 
Sugu ni msanii mwenzangu kitaaluma

Empty set inamhusu sana kwenye kumfanyia grading
Nimecheka mpaka nimebanja. Mshaurini msanii mwenzenu asije kupotea mazima siasani 🀣🀣
 
Perfect kabisa... Hebu ingia kwa mama sikujua umwambie akupe chai na chapati supu nakuja kulipa mchana 🀣🀣
 
Sugu unamuwazia uwaziri?

Form four failure kamwe hawezi ingia baraza la mawaziri Mwana Fa shule ipo kichwani ana MSC πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sugu unamuwazia uwaziri?

Form four failure kamwe hawezi ingia baraza la mawaziri Mwana Fa shule ipo kichwani ana MSC πŸ˜‚πŸ˜‚
Anaweza kupewa pande la muda kama shukran ya kujiunga na chama, alaf baadae anaachwa aendelee na maisha yake 🀣🀣🀣
 
Wewe ungekuwa ndio Sugu ungekataa Pesa mkuu?
..............Acheni kuwalaumu hawa watu hakuna mbabe wa fedha.

.........
 
Uchaguzi ni kampeni za pande zote, hawa wanasema mchague huyu wale wanasema mchague yule, wengine wanasema wakatae wote mchague wa kwetu, ndio Demokrasia hiyo, CCM hamkuzoea haya mambo, poleni sana
unatia huruma yaani umekuwa mnyonge sana kwakaulizilizokosa matumaini mbowe naondoka mmewako sijui itakuwaje lissu humuwezi
 
Uchaguzi ni kampeni za pande zote, hawa wanasema mchague huyu wale wanasema mchague yule, wengine wanasema wakatae wote mchague wa kwetu, ndio Demokrasia hiyo, CCM hamkuzoea haya mambo, poleni sana
Mbona hoja zinazotolewa na viongoI wa chama kabisa zinakibomoa chama kuliko kukijenga mkuu, shida ni nini
 
na watakao mchagua mdude ni watakuwa vichaa wenzie
 
Wewe ungekuwa ndio Sugu ungekataa Pesa mkuu?
..............Acheni kuwalaumu hawa watu hakuna mbabe wa fedha.

.........
Angekula fedha alaf angejifanya amepata dharura ya ghafla ambayo imemfanya asifike mkutanoni 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…