Joseph Mbiliyi (Sugu) awaumbua CHADEMA, akiri walichelewa Uwanjani kumuaga Mzee Mkapa

Atleast wangemdukua Mdee, Lema, Lissu hata Mbowe, TISS mbona mnanitia aibu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
fuatilia uzi husika utapata ufafanuzi wote.


Wewe ndio ulioweka hiyo post kwamba Sugu amekanusha, lkn umeweka kukanusha kwake kwa kutumia njia ile ile ambayo mnasema mwanzoni alidukuliwa, sasa tutajuaje kama hiyo ya kukanusha haijadukuliwa pia?
 
Wewe ndio ulioweka hiyo post kwamba Sugu amekanusha, lkn umeweka kukanusha kwake kwa kutumia njia ile ile ambayo mnasema mwanzoni alidukuliwa, sasa tutajuaje kama hiyo ya kukanusha haijadukuliwa pia?
hii ni Instagram. iliyodukuliwa ni Twitter
 
Ujanja wa Chadema unaishiaga hapa Jf......huko kwingine wanafeli sana!
 
Sikuoni lupaso kulikoni?

Upo?.. leo na jana.. mnapigwa tu mabao.. awamu hii munajichemusha.. watu wanawagundua.. na kupenda kiki za huruma kwa makusudi.. na πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
 
Hakuna kulazimishana maana kila mtu na chaguo lake

Nawe nakukwongeza hizi.. πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Jana na leo πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½πŸ’ƒπŸ½
 
Naona cdm inawatoa vidonda vya koo, na hapo bado maana mziki ndiyo kwanza fundi mitambo anaadaa show yenyewe.

Subirini kampeini zianze ndiyo mtakoma kudadadeeeki
Zamani enzi za dr. Slaa vijana wa chadema walikuwa wanawajambisha ccm kwa kudukua dukua account za viongozi namna hiyo lakini siku hizi ccm ndio inawajambisha chadema, yani chadema siku hizi wanaishi kwa hofu kwamba lolote la weza kutokea hasa kwa viongozi wao kusaliti kambi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nikweli ccm siku hizi mnaweza kufanya lolote kama mlivyo fanya mengi tu
 
Kwanini Lema anamsemea Sugu?

Sugu mwenyewe ajitokeze kukanusha kama ni uongo.
 
Upinzani usipobadilika basi wale waovu watapata sababu ya kutawala muda mrefu sana!!
 
Hapana sidhan kama hio kitu inamake sense mkuu. Ni kujishtukia tu si umeona lema kaanza kujishtukia kisa lissu hajapokelewa kwa mabomu wala mikiki ya polisi. Wangewahi tungefahamu huo ukweli wenyewe.
Serikali isingekubali Lisu aingie msibani pale kwa hali ilivyo kisiasa. Lisu angeshangiliwa sana na umati. Hivyo ingekuwa sad, kwa hiyo serikali inapambana kila namna japo hali ni tete

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa mbaya ni kuwazuia watu kutoa Heshima za Mwisho kwa MAREHEMU.
 
Wakenya nao wanalalamikia kufanyiwa figisu ili tu wasiwwze kutoa heshima za Mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…