Joseph Mbiliyi (Sugu) awaumbua CHADEMA, akiri walichelewa Uwanjani kumuaga Mzee Mkapa

Wenzetu wanatafuta kiki. Subirini msiba uishe mje mpate haki yenu.

Sasa mtuache kwanza tumaliza azishi.
 
Ratiba viongozi hupewa na idadi ya ujumbe na sehemu ya kukaa, hiyo uliyoisikia ni taarifa tu kwa umma. Ninachokueleza ninauhakika nacho, acha mambo ya mtaani.

Usifikiri hatujui. Idadi ya watu iwe nini ratiba na kila kitu lazima kifuatwe. Huwezi kwenda saa tatu na msafara kutaka kuingia tu wakati taratibu zinafahamika. Jua najua zaidi yako
 
Dawa ya moto ni moto tu, mnadhani tumesahau? Daima hatuwezi kusahau mliyo tutendea
Wewe nawe akili yako haina akili tunaongelea issue ya leo wewe unaleta habari ya mwaka juzi!
 
Nyinyi mbona hamukuwaomba radhi mlipo wakataza hata wabunge wenu kwenda kumjulia hali mh Lissu pale Nairobi hospital?

Yaani leo hii mmeisha sahau? Kweli mla mbaazi usahau haraka lkn mmenya mbaazi hizo hasahu hata kidogo.

Dawa ya moto ni moto tu
Alikuwa na Sugu leo ila baada ya ujumbe kufika ndio amedukuliwa, alikuwa wapi muda wote. Kukosea sio shida wakubali na kujirekebisha tu.
 
Tukiwa tunapigania uhuru wa kutoa maoni ni vema tukawa tunakubali na mapungufu yetu pia,Sasa mdogo wangu Lema anasema imedukuliwa account ya Sugu,au ndiyo kutaka kusikia sifa tu pekee.........Siasa za wanasiasa wa Tz ni walewale tu,wote wanapenda kusifiwa tu
 
Udukuzi hautawasaidia kitu wanafiki wakubwa nyie
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽

 
Hapo hakuna cha kitanzi wala nini, nyinyi mbona alipo pigwa risasi mh Lissu hamkwenda kumjulia hali pale Nairobi?

Kumbe mkuki ni kwa nguruwe siyo? Mkianza wenzenu wanamaliza! Wacheni kulia lia
Unajua fika kuwa Nairobi asingefika kama Serikali ndiyo ulipanga kumuua. Baada yatukio, huduma ya kwanza, iliyokoa maisha yake, ilisimamiwa na viongozi wa juu wa Serikali.
 


Washauri wa CHADEMA bwana alafu mnataka wanachama wengine baadaye wazidi kuipenda CHADEMA.

Yaani nyie leo mda wote kioo chenu ni CCM.

Hadi kwenye kura zao za maoni mnacheza nao reggae.
 
Usifikiri hatujui. Idadi ya watu iwe nini ratiba na kila kitu lazima kifuatwe. Huwezi kwenda saa tatu na msafara kutaka kuingia tu wakati taratibu zinafahamika. Jua najua zaidi yako
Ligi ya chandimu, unanichosha.
 
Naona hujaelewa nilicho kiandika au umeamua makusudi kulikwepa.

Nimesema hivi:- wabunge wenu walikatazwa kwenda kumjulia hali mh Lissu pale Nairobi hospital.

Inakuwaje leo hii mnalialia? Ina maana uhai wa mh Lissu hauna thamani kwenu?
Unajua fika kuwa Nairobi asingefika kama Serikali ndiyo ulipanga kumuua. Baada yatukio, huduma ya kwanza, iliyokoa maisha yake, ilisimamiwa na viongozi wa juu wa Serikali.
 
Dawa ya moto ni moto kamwe haiwezi kuwa maji
Chadema ndio inawategemea vijana hawa kufanya uenezi wa demokrasia humu JF.

KINACHOWAPONZA NINYI CHADEMA ni kitu kimoja mmejivika umalaika sana tena sana.

Hamjawahi kukosea wala hamtaraji kukosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…