Joseph Mbiliyi (Sugu) awaumbua CHADEMA, akiri walichelewa Uwanjani kumuaga Mzee Mkapa

Kumbe walichelewa ?Sasa kwa nini wanabweka kama mambwa kuwa wamezuia ?Au ndo kama ya Mbowe kuvamiwa kumbe kala mzinga kisa mzinga wa Konyagi.
Chadema Ni kawaida yao kutafuta Kiki kwa pikipiki
 
Kwa hili nitamuheshimu sugu..
 
Hapo hakuna cha kitanzi wala nini, nyinyi mbona alipo pigwa risasi mh Lissu hamkwenda kumjulia hali pale Nairobi?

Kumbe mkuki ni kwa nguruwe siyo? Mkianza wenzenu wanamaliza! Wacheni kulia lia
Account yako imeingiliwa?
Mbona comment zako ni za kijinga Sana!
 
Uongo.Ni Sugu kabisa,sema wakubwa hawajakubaliana nae alivyoandika. Sisi sio vilaza kama kina Zitto mliowanyanganya laptop kulimokuwa na waraka.
Wanafikiri watanzania Wana akili fupi Kama urefu wa Steve nyerere Chadema waache Kiki zitawaua.
 
Aisee kweli lkn yote 9 tu kwani tulikuwa kwenye kilele cha furaha hasa makao makuu baada ya mh Lissu kuhutubia kidogo.

Tutatafutana mkuu leo nimeamka na safari ya kwenda ikungi singida kidogo.
Sawa sawa mkuu.. safari njema
 
Jibu lake unalo kwa kuwa mnaamini kila mtendaji wa Serikali ni CCM. Ni kwa sababu hiyo mnadai Tume huru ya Uchaguzi!

Asilimia kubwa ni wanaccm huko serikalini, hata huko ccm sio kila mmoja ni ibilisi. Tunadai tume huru ya uchaguzi, kwakuwa hii iliyopo inateuliwa na rais, na inatii matokeo atakayo rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…