Joyce Kiria: Mwanamke kumhudumia mwanaume ni ujinga

Sijui, lakini just imagine ujifanye unajua kupenda kuliko mwanaume mwenzio aliyemwacha, halafu ukajitwalia chuma hiko, utakufa kabla ya muda wako.
Changamoto zingine wanaume huwa tunajitafutia wenyewe.
Utaoaje mwanaharakati?
Wajuba huwa ni hit na kutoka nduki kwa kwa hawa mwanaharakati yaani huwa hawaoi mwanaharakati kabisa
 
Kuna nchi zina sheria za maadili, kwa mfano una msimamo wako kama huyu ni kheri ila kushawishi watu na kuendekeza harakati zako ndio unaweza kujikuta unanyongwa.
Kumbe ninachokifikiria kila siku kuna walioona mbali wakakitafutia suluhu
Heri kwao. Mtu kama huyu hana tofauti na wanaoitwa wachohezi. Huyu yeye ana deal na maadili. Hana mzaha kabisa na maadili mema. Anataka watu waishi kama mahayawani vile tu yeye ndoa imemshina.

Na huu mtego wake utawanasa mazuzu wa kutosha tu
 
Kwani yeye siyo jimama wala Mshangazi?
Your browser is not able to display this video.
 
Wadau nimeikuta hii mahali:
Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"
~Joyce Kiria, Mwanaharakati.
 
Huyo Joyce ana mume? Hayo kayatoa wapi?

Zimepitwa na wakati au yeye ndiyo kapitwa na maadili?
 
Ni sawa. Hata mimi nakuunga mkono. Lakini siyo kwa kuviziana na kulazimishana na kutegeana. Huyu Joyce anavyoelezea ni ngumu sana maisha ya aina hiyo. Nimekaa nchi za Scandivia ambazo wanawake wana sauti lakini hata wao wanakubali kwenye maisha wanawake wana majukumu special kwa waume zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…