Joyce Kiria: Mwanamke kumhudumia mwanaume ni ujinga


hayo makucha hapana!!!!
 
Sikupingi mkuu na huo ndio uhalisia ila kwa ulimwengu wetu wa sasa mke au mume yule ambae atakuwa na uchumi mkubwa kuliko mwenzake ndio ataamua mwenzake am-treat vipi.
 
Kama kweli kuna wanawake wanafata ushauri wa huyu basi ninamashaka makubwa na utimamu wa akili zao, huyo shangingi kichwani hazijatimia
 
Sasa yeye hajasema kuwa "sio lazima kumhudumia mume" kasema "ni ujinga kumhudumia mume" unapoki term kitu kama ujinga it means HAKIPASWI KUFANYIKA.
Usipindishe alichosema.
Kweli ni ujinga lakini ndo hivyo inabidi kuishi nao maana ndivyo tulivyojizoesha
 
Ndio maana Kilewo alikukimbia
 
We unachoshauri ni tofauti na Joyce we unashauri kusaidiana kazi kitu ambacho ni haki kabisa na ni sawa,, ila Joyce anasema mwanamke asimfanyie chochote mume wake
 
Kwa hizo kucha mikono yote, atampikiaje mume? Na huko alikotoka mpaka kufikia hapa amesha wehuka huyu
Hata hivyo ni kweli, siku hizi wanapika mahousegirl

Mke yupo kazini anarudi jioni, atapika na kufua wikiendi labda
Atafuaje na hizo kucha sasa? Au anatumia washing machine hata kufua chupi?
 
Napenda kufua nguo za bby wangu huwa kuna kiinua mgongo kwenye trousers na mifuko ya shati.....
Kuna dada yangu alikua anapenda sana kunifulia nikaja kugundua huwa kuna chenji nilikua naziacha sasa nilichokua nafanya kila nikiacha nguo naweka na buku mfukoni, nikirudi nampa tena buku ya soda basi alikua ananiona faala kumbe ilikua ni trap
 
huyu ndio yule women empower, hakuna man anaweza kuishi under same roof na type hii
 
Anataka wake za watu waachike huyu
Umeongea fact.
Kwakuwa yeye aliharibu ndoa yake mwenyewe, anatafuta namna ya kupeleka masaibu yake kwa wengine zaidi na zaidi. Wakati Wizara ya Ustawi wa Jamii ikiendele kupambana na kutunga Sheria za kuzuia matatizo ya Ndoa kuvunjwa OVYO kuna CHRIS MAUKI na kilaza JOYCE KIRIA wanapambana kutoa mafunzo ya Ndoa kuvunjika haraka iwezekanavyo.
Wanawake akili za kuambiwa ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…