Joyce Kiria: Mwanamke kumhudumia mwanaume ni ujinga

Mambo kwa ground ni tofaut, niende job kukutaftia afu nirudi hizo jobs hajafanya?, kama na wao wanaend makazini sawa, tofaut na hapo hahahah
 
Stress za kuchokwa hizo anatala kuharibu watoto wa wenzake. Huyu ashitakiwe
 
.uyu dada ni taperi ana tafuta wagonjwa anao jua kabsa hawatoboi ana wapiga pesa za misaada kwanza
 
Na mwanaume kumpa hela mwanamke ni ujinga pia. Kwani hana mikono ya kutafuta. Hapo nyumbani tunakuwa kama wapangaji wanaoishi chumba kimoja.
 
Hivi,huyu hakui tu na ujingaujinga wake?
 
Kuna Shehe aliwahi kusema anafungishaga ndoa za wanadamu na majini.
Huyu Mama sidhani kama ameolewa na mwanadam
😂😂😂😂😂😂😂😂Inawezekana
 
Mapovu yanawatoka utasema walemavu😂
 
Mapovu yanawatoka utasema walemavu😂
Tununue mashine
 
Kwa hizi kucha anafuaje?
Kila mtu apambane na nguo zake aisee😂
Joyce kayatimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…