Jua Kali latawala Tanzania: Hali ya Hewa kila Mkoa na Uzoefu wako ni upi?

Joto kali huu ni mwaka wa njaa. Mahindi yamekauka shambani. Unga kilo 1 ni 1400-1500. Kwa hali ilivyo unga utafika 2000 kwa kilo hadi 3000 kwa kilo.

Huu ni mwaka wa njaa. Laana ya kutesa na kuteka watu inaitafuna nchi, watu wanafanya uchawa mpaka kwenye nyumba za ibada. Mnasababisha nchi ikose chakula
Mabilioni yanayoenda kwenye uchawa yangeenda kwenye umwagiliaji
Dah mahindi na maharage lazima yapande bei
 
๐Ÿ˜€Apo hamia morogoro na Mbeya kakodi shamba
Mzee...kilimo cha Mvua kina changamoto sana.Nataka kuwa kama Wachina tu sasa..wana mavisima huku na kumwagilia tu.
Nimepita huko..kuna jamaa wanalia na ufuta umepitiwa na maji kibao plus upepo wa kufa mtu..aisee unaweza lia kabisa.
 
Hii ya dar nahisi ni tofauti kidogo na hizo 34ยฐ nyingine hapo
 
Joto kali huu ni mwaka wa njaa. Mahindi yamekauka shambani. Unga kilo 1 ni 1400-1500. Kwa hali ilivyo unga utafika 2000 kwa kilo hadi 3000 kwa kilo.

Huu ni mwaka wa njaa. Laana ya kutesa na kuteka watu inaitafuna nchi, watu wanafanya uchawa mpaka kwenye nyumba za ibada. Mnasababisha nchi ikose chakula
Mabilioni yanayoenda kwenye uchawa yangeenda kwenye umwagiliaji
Leo ndio nimejua bei ya unga ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€sijui chochote kile labda matunda.
 
Back
Top Bottom