Jua Kali latawala Tanzania: Hali ya Hewa kila Mkoa na Uzoefu wako ni upi?

Dah mahindi na maharage lazima yapande bei
 
πŸ˜€Apo hamia morogoro na Mbeya kakodi shamba
Mzee...kilimo cha Mvua kina changamoto sana.Nataka kuwa kama Wachina tu sasa..wana mavisima huku na kumwagilia tu.
Nimepita huko..kuna jamaa wanalia na ufuta umepitiwa na maji kibao plus upepo wa kufa mtu..aisee unaweza lia kabisa.
 
Hii ya dar nahisi ni tofauti kidogo na hizo 34Β° nyingine hapo
 
Leo ndio nimejua bei ya unga πŸ˜€πŸ˜€sijui chochote kile labda matunda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…