Jua Kali latawala Tanzania: Hali ya Hewa kila Mkoa na Uzoefu wako ni upi?

Fuh
 
Viwango hivyo vya joto lililopitiliza havijawahi kushuhudiwa tangu wanasayansi waanze kutunza record za viwango vya joto.
Hawa wanasayansi nao, mwaka 2020 na 2021 huko Marekani joto liliwahi kufika hadi 54.4⁰C. Wao walikuwa hawajaanza kutunza tu hizo records?
 
Hawa wanasayansi nao, mwaka 2020 na 2021 huko Marekani joto liliwahi kufika hadi 54.4⁰C. Wao walikuwa hawajaanza kutunza tu hizo records?
Joto la 2024 limewekwa katika muktadha wa joto kali zaidi duniani kwa wastani, si kwa rekodi ya joto la juu zaidi kihistoria. Hiyo inamaanisha kwamba wastani wa joto katika sehemu mbalimbali duniani mwaka 2024 ulivunja rekodi za awali, lakini haimaanishi kuwa lilifikia kiwango cha juu kuliko kile cha Death Valley mwaka 1913 (56.7°C).
 
Sawa nimeelewa. Hiyo ya 1913 hata wao tu wanapingana
 
Dar tupo na nyie hadi joto liniue mje
 

Attachments

  • IMG_20250303_171405_582.jpg
    719.1 KB · Views: 2
Kuna mdau amesema Arusha imna sehemu mbili kwahiyo hashangai kusikia kuna baridi
mkuu nilikua natania jua linagonga balaaa sio pale mlimani sio tambarare
 
Mbeya Jana mvua imeshuka kubwa na kibaridi juu, hapa Kuna upepo mzuri labda mida ya saa sita hadi kumi ndo huwa Kuna joto,ila saizi nipo kuota moto na sweta nimevaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…