Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila nafsi itaonja umauti, alikuwa akiwahi kuchukua kumbukumbu za Matukio muhimu kwa Ajili ya Ndugu Sozigwa Gwiji la Propaganda za kujenga Umoja na Mshikamano!
Nyerere and his cronies, just before giving up the gun.
Out of all, Nyerere pekee amekaa kama mtu aliyeenda British public (that is to say private) school.
Kutoka kushoto wa kwanza Habib Halahala, mwenye shati la njano Paul Sozigwa, Prezidaa Mkuu wa Kaya Baba Kabwela aka Haambiliki Nyerere mwenyewe, baada ya Nyerere Hashim Mbita, then Mkuu wa Kaya wa awamu ya tatu Che Nkapa.
Wote waliwahi kuwa waandishi wake Nyerere.
Wewe na teja unatofauti gani.ikulu ya sasa ata mateja wana jirisha...cc ray c
View attachment 111482
Ipe maneno picha hii!!Tambua hao ni akina nani??
View attachment 111482
Ipe maneno picha hii!!Tambua hao ni akina nani??
![]()
Wa kwanza Kushoto ni Marehemu Habib Harahara aliyekuwa Mwandishi wa habari wa Raisi R.I.P Wapili simfahamu ila Wa Tatu hapo ni Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.. Wa Nne naye Simfahamu na Wa Tano ni Raisi Mstaafu Benjamin William Mkapa...
Umenoa mkuu Kiranga keshasema ni Hashim Mbita
Enzi za huyo Mzee aliekuwa katikati watu walikua hawaingii bila sababu muhimu sana na uwe umeshapitia ngazi nyingi saana la sivyo kama ni shida ndogo ndogo utamaliziwa huko huko kabla hata hujaingia ndani
Kila kitu kina mwanzo na mwisho wake!Mwalimu na vitoto vyake vipenzi! Maskini mwalimu RIP!
.....
......litoto rizuri harafu linabwiya unga!!!!!
wazinz kama huyu dr wako ni machukizo patakatifu pa ikulu na mbingunNdugu wana jf habarini na poleni na uchaguzi wa kalenga.
Hoja yangu ipo au inalenga ikulu...
Hiki ni chombo kilichojipatia hadhi kubwa sana enzi za mwl nyerere kipindi hichooo.
Sasa hadhi yake imeshuka kutokana na walanguzi wa uongozi kutinga pale... kila mtu anataka kuwa rais mf; deogratius yule wa nccr eti nae ana ndoto za urais.
Kwakweli wenzetu hawa wamepafanya paonekane kama ni pango la walanguzi hawa akina dovutwa hata kifikra tu ni wachanga sana nao wanalilia pale.
Ikulu jamani panawaziwa sasa na wendawazimu.
Iacheni ikulu yangu ya nyerere ipate hadhi yake...
Karibu Dr slaa 2015.
asanteni.
wazinz kama huyu dr wako ni machukizo patakatifu pa ikulu na mbingun
Ikulu ni Mahala pa WATAKAVITU!!!!
Funguka mkuu.
Hueleweki sisi tunafahamu ni patakatifu.