Julius Malema anaongoza maandamano kuunga mkono ushoga na usagaji na kumpinga Rais Museveni

Waafrika mnapigwa changa la macho na habari za ushoga, wakati watu wanawaibia waiwazi mpaka CAG anashindwa kuhesabu wizi!
Kwani mkuu si tulikubaliana mama anafungua nchi?

Jana nimesoma mahali Kuna magari yenye thamani ya bilioni kumi na nane yaliagizwa kutoka Japan kwa hela ya Corona ile trillion moja na nusu,Hadi Leo halijafika hata gari moja.
 

 
Sielwei kwanini umfunge mtu kwa ajiri yeye ni shoga, Malema yuko sawa, hakuna haja ya kuwaonea mashoga, wengi ni ndugu zetu na rafiki zetu na wamezaliwa hivyo hakuna namna ya kuwabadilisha
 
Kwani mkuu si tulikubaliana mama anafungua nchi?

Jana nimesoma mahali Kuna magari yenye thamani ya bilioni nane yaliagizwa kutoka Japan kwa hela ya Corona ile trillion moja na nusu,Hadi Leo halijafika hata gari moja.
Mkuu please naomba iyo linki
 
Anachokifanya huyo jamaa wakuitwa malema ndicho anachokifanya wakuitwa laila odinga kule kenya,nikuharibuharibu tu mambo kwa manufaa yao binafsi, mikataba iliofanyika juzi kati kati kati ya uganda na souh africa ndio imemuibua huyu jamaa kutoka alikotoka...siasa ni mchezo unaonuka
 
Demon CRASIE!!!

Putino aungwe mkono.

Malema azamishwe.
 
Ushoga sio tamaduni zetu waafrika ni wakuupinga Kwanguvu zote. Lakini na wewe ilikuwaje ukakubali utamaduni WA wazungu na waarabu (UKRISTO NA UISLAM) mbona kama sio tamaduni zetu ?
 
Mshenzi kweli kweli walahi
Nilikuwa namsifia kumbe ni jitu la kupumuliwa dadadeki zake[emoji2959]
 
bado Lissu...
 
Hata mimi nimesikitika sana. Dikutegemea mtu kama malema kuwa upande ule kwenye hili tatizo.
 
Mtu anaamua mwenyewe matumizi ya kitobo chake Cha nyuma harafu mwingine anachukia Sasa hapo tunawasaidiaje?
 
Julius Malema is fucking stupid.
Hatukumkomboa ili awe shoga!
 
Huyu jamaa huwenda akauwawa na watu wenye hasira kali

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…