Julius Nyerere Mtume wa Afrika 1950s - Julius Nyerere Mtakatifu Mwenye Kheri 2000s


Utulivu kweli kwani kila uchaguzi huku wanauliwa watu na kutiwa vilema , mbali ya ule uvamizi alituvamia 1964 na kuteka nchi yetu , RIH Laanatullahi Nyerere
 

Amani aliyoleta Nyerere ndiyo hii ya kuvamiwa huku kwetu na kuwekewa majeshi kila mtaa ?? huku tukiletewa majeshi mpaka ya Burundi katika jitihada zenu za kuweka vibaraka wenu


View: https://www.youtube.com/watch?v=gmxrblkDnbc&t=71s&pp=ygVEa2lsaWNob3dhcGF0YSB3YWxpb3dla3dhIGt3ZW55ZSB2aXp1aXppIHZ5YSBtYXRlc28gdWNoYWd1emkgemFuemliYXI%3D
 
Umemaliza✍️
 
Utulivu kweli kwani kila uchaguzi huku wanauliwa watu na kutiwa vilema , mbali ya ulöe uvamizi alituvamia 1964 na kuteka nchi yetu , RIH Laanatullahi Nyerere
Mmoja wa wafuasi wanataka wa mzee ms ndio kama ww na wengi kawateka
 
Asante kwa kuandika nilichofikiri
 
Utulivu kweli kwani kila uchaguzi huku wanauliwa watu na kutiwa vilema , mbali ya ule uvamizi alituvamia 1964 na kuteka nchi yetu , RIH Laanatullahi Nyerere
Bila Nyerere mungekuwa mumechinjana na mumemalizana. Hakuna Zanzibar nje ya Muungano bali kuna Unguja na Pemba
 
Hakuna cha Uislamu kwenye kugombea uhuru wa Tanganyika bali kuna wananchi wa Tanzania waliopigana kuondoa ukoloni.

Hii mambo ya kuuweka Uislamu mbele ni kukosa akili na kudharau juhudi za waasisi wa Taifa hili waliohakikisha Tanzania inakuwa nchi isiyo na dini.

Kwa kuwa unapenda Uislamu basi nenda Somalia. Wanaongea lugha moja na wote ni Waislamu, lakini wanauana kama wanyama.

Au mzee Mohamed Said hamia Sudan au Afghanistan. Sikutegemea kwa umri wako mkubwa ujikite kwa issues za kidini kiasi hicho. Ni kero
 
Asante kwa kuandika nilichofikiri
Hakuna kitu kibaya kama kuwa loser kwenye maisha, na ukadhani ni mmoja ya watu wenye elimu na akili sana. Unaweza kujikuta unatumbukia shimoni.
Kwa hili la kuleta hadithi zake za kutunga, ameshafeli. Ni mfa maji tu asiyeisha kutapatapa
 
Bila Nyerere mungekuwa mumechinjana na mumemalizana. Hakuna Zanzibar nje ya Muungano bali kuna Unguja na Pemba
Stux...
Unguja na Pemba imekuwapo toka dunia ilipoumbwa.

Tanzania imekuja mwaka wa 1964.

Mimi si Mzanzibari.
 
Hakuna kitu kibaya kama kuwa loser kwenye maisha, na ukadhani ni mmoja ya watu wenye elimu na akili sana. Unaweza kujikuta unatumbukia shimoni.
Kwa hili la kuleta hadithi zake za kutunga, ameshafeli. Ni mfa maji tu asiyeisha kutapatapa
Tanga...
Nimetunga hadithi...

Maasi ya Tanganyika Rifles (TR) mwaka wa 1964 ni hadithi iliyotungwa na Mohamed Said?:

Angalia kipindi cha TBC:


View: https://youtu.be/8VELwiHeHZM?si=Rn69xnK7lIyAOT4e
 
Stux...
Umeghadhibika.
Sikiliza kipindi nilichofanya na DW:


View: https://youtu.be/8a0UyyCVyy4?si=DBg3MBsBudS1nraY
 
Mtu mwenye admission letter na mwenye masters nani ana sifa za kuwa kiongozi by then?
Nan...
Nafasi ya President wa TAA 1953 wakati Abdul Sykes na Hamza Mwapachu wanajitayarisha kuunda TANU hofu ya Hamza Mwapachu ilikuwa wasiunde chama kudai uhuru kiongozi akiwa Muislam.

Alihofu wengine watasita kujiunga na TANU kwa kuona kuwa harakati za siasa ni za Waislam peke yao.

Nimeeleza hapa mara nyingi mkutano wa Abdul Sykes, Ali Mwinyi Tambwe nyumbani kwa Hamza Mwapachu Nansio, Ukerewe.

Haikuwa elimu ya Nyerere peke yake iliyomfanya aingizwe kwenye uongozi.

Nafasi ile ilimtaka kiongozi ambae si Muislam ili ajenge umoja kwa kuwavutia wengine waliokuwa nje ya siasa.
 
Nyerere alikuwa charismatic na alikuwa na vigezo.Hakupewa favor!Hao wazee wako walimhitaji Mwalimu kuliko Mwalimu alivyowahitaji wao.Mtu charismatic aina ya Nyerere ndo pekee alisikilizwa na jamii yote ya watanzania regardless ya ethnicity na religious orientations
 
Nan...
Waungwana kuna mambo mwiko kukumbusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…