Pre GE2025 Juma Nkamia: Hayati Magufuli alipenda sana sifa hivyo nilimsifia ili Watoto wangu waende Shule

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
huyo ni mbunge wa wapi kwani?

na huyo alie muita mwenzie mpumbavu yeye ana nini cha ziada kwa mfano, kama sio nae ana hali hiyo hiyo tu aliyomwita mwenzie πŸ’
 
na tukisema wafuasi wa CCM ni nyumbu na wako extremely selfish huwa mnakataa, sasa huyu yuko tayari wengine waumizwe as far as watoto wake watakwenda shule. "Pumbufu" kabisa
Wafuasi wa ccm ni chawa, nyumbu ni wafuasi wa chadema bwashee.
 
Mbona?????!

Jizungumzie wewe. Ungekuwa wewe ungefanyaje? Simple
Nikishajizungumzia mimi halafu ndio nini? Hata mimi nikisema kwamba ningefanya kama alivyofanya bado hiyo haina maana kuwa hakuna njia nyengine na ndio maana nikasema wapo watu ambao wao katika mazingira kama hayo hawakujali matumbo yao na vyeo vyao wakashikilia misimamo yao.

Kwahiyo sio suala la mimi binafsi bali kipi sahihi? Huyo jamaa pamoja na kufanya hivyo alivyofanya ila hakuna alichopata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…