Acheni wivu ninyi, mbona Paul Ng'hwani Msukuma mwenzenu ana mali ya kutisha hamumsemi? Mbona Jumanne Kishimba ana mali ya kutisha na mmekaa kimya. Waacheni watu waliofanya kazi kwa bidii waende mbele, ninyi maskini mkae tu. Mbona hamumsemi Musukuma na helikopta yake, yeye aliiba wapi au John Cheyo, mbona ni tajiri. Come on, utajiri siyo bahati bali ni kufanya kazi kwa akili na bidii.
 
Hivi nyie mnajua historia ya Mbowe au ni kubwabwaja tu, Mbowe sio level yenu ati
 
Ruzuku ya chadema inaenda wapi?

Michango ya join the chain iko wapi?

Makao makuu ya chadema yanaonekanaje?
hii hoja bado ipo tu? mdhibitini kwanza popoma wenu kuwa na msafara wa magari V8 zaidi ya 60, apunguze ushamba anaifilisi nchi. Kuhusu nyumba nzuri ya Mh. Mbowe unaruhusiwa kuomba undugu kwenye familia hii. Usione vinaelea ndugu yangu vingine vimetokea mbali vizazi kwa vizazi - utawaolewa.

Kuja jamaa mwenzio alijaribu kuifilisi familia hii, akaishia kuondoka akaiacha kama ilivyo.
 
Asilimia kubwa ya viongozi wa ccm walitokea kwenye familia maskini.

Utajiri walionao ni kwasababu ya ufisadi wao kwa Taifa hili.

Kwahiyo siwezi kushangaa hizi kelele kutoka kwa vijana wasiotambuwa historia ya Taifa letu.

Badala yake kwasababu ya ugumu wa maisha, na huku wakitizama utajiri ambao viongozi wa ccm wanao mfano Makonda, basi na wao wanajiingiza kwenye siasa hili wapate chochote kitu na pengine uchawa uwapatie nafasi kubwa zaidi waweze kulifisadi Taifa zaidi.

Mafano Makonda uchawa wake kwa Rizmoko hadi kuchuchumaa chini kumfunga kamba za viatu hadharani, ndipo kulimpaisha na kupewa shavu na Mkwere.

Same ol shit, different shovels.
 
WAsukuma Ndio kabila kubwa ambalo naona kama sasa linataka kujimilikisha Tanganyika.
 
Makao makuu ya chama choo!! Nyumba ya mwenyekiti castle!! Machadema ni majinga mno
 
Kuanzia Lambo pale wanamajumba mazuri sana, nani anakumbuka kipindi kile cha msiba wa mama yake Mbowe aisee
 
Kama kajenga hiyo nyumba kwa shilingi za Tanzania milioni 500 za leo nampongeza kwa kujua kubana matumizi.

Is that prefab or something?
 
una akili za kimasikini wewe.
hivi ghorofa linajengwa kwa miezi mitatu? unajenga la mbao
unajua vizuri historia ya familia ya mbowe wewe? kumiliki kaghorofa kama hako unachanganyikiwa ukilinganisha na ule ufisadi wenu wa kunuka hapo LUMUMBA HUUSEMI MBONA?
tutajie kwanza viongozi waadilifu na wasafi hapo lumumba kabla ya kuchafua watu ambao baba zao waliwaachia utajiri
 
CCM hamna tofauti na mashabiki wa Simba baada ya kutandikwa 5G.

Pia, picha hii imfike Jiwe huko aliko aliedhani atafanikiwa kumfanya Mbowe awe masikini.

Wewe binti una umalaya malaya sana.

Jiwe angetaka huyu mzee wako awe masikini asingeacha wabunge 19 bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…