Huyo mmchame ni jambazi tu kama majambazi wengine hasafishiki hata kwa jiki
 
Kwanza pole jana hukuwa na taarifa za kikao cha siri pili taarifa za ndani walio karibu na mwenyewe eti ni ile B10 aliyokodisha chama kwa mamvi!
Wewe kipara kipya Babu yako Nyerere wakati anataka kwenda uingereza kuomba uhuru wa wewe kubwabwaja hapa alimpigia magoti baba yake mbowe ili ampe nauli ya safari na ela za matumizi na akapewa ndio maana Leo unaropoka hovyo tu bila kujua kuropoka kwako Kuna familia ziliwezesha[emoji3]
 
Siyo kweli Nyerere alichangiwa Nauli na Waislamu wa Mzizima wakiongozwa na Rashid Mfaume Kawawa 😂😂🔥
 
Huyu jamaaa mie huwa hata simuelewi anakomaaa sana na chadema wakati huyo mbowe ni mrafi wa madaraka hataki kutoka hapo alipo
Ishu sio madaraka tatizo atamwachia nani asiehongeka? Tuliwaamini wakina zito wako wapi Sasa? Je kafulila? Nasari? Na wengine wengi waliokua wapiga kelele wazuri mpaka wakina mdee tatizo njaa ndg Hawa ccm kumtunuku mtu hata trillion hawaoni shida mradi uuwe chama[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Akimiliki Mbowe, amejaliwa!
Akimiliki Mnyeti, amepata wapi?

Kijana uchawa huondoa fikra huru. Hojini utajiri wa watu wenu kama mnavyohoji wa CCM.

By the way hapo kamjengo nimekapenda sana design yake kamekaa 'kimonarch'.
 
Mkuu hata yye ni kama mwanamke malaya tu mjona hata yye amehongeka sana na CCM

NA LOWASA pia Ali alihongeka unajua mpango siyo kuachia chama but yye ni mrafi wa madaraka sana ndio maana hakubali kuachia anajua watakuja wengine wachukue pesa anazohongwa

Makao makuuu ya chama tu kashindwa kujenga RUZUKU za chama je zinakwenda wapi ifike wakati tuongeee ukweli hata kma mchungu mbowe mrafi na mnafiki na mbinafsi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…