It's really a fantastic white house, and well deserving for him. Pengine hao wenye wivu wasichikijua ni kwamba Mbowe's family ni matajiri tangu kitambo. Wala siyo Chadema, na wala siyo siasa imewapa utajiri. They have been up there for donkey's years. Period.
 
Wamejinasibu kila kona huyu ndio mwamba.

Huyu ndio mwamba aliyerithishwa mali toka enzi baba yake anapigania uhuru.

Wengine wamediliki kupost picha za wachezaji wa Yanga zikiwa na udhamini wa Club Bilcanas

Ila Paul Makonda amekomaa kuhakikisha anarejesha imani ya chama cha Mapinduzi kwa wananchi.

Wanashangaza sana Makamanda.
 
Wivu wa kike ma wa kishamba sana huu. Mafanikio ya mfanya biashara nguli kama mbowe na pesa/ruzuku ya chama vina uhusiano gani. Kwa hiyo nia yenu nyie maboshoo wa lumumba ni tekeleza azma ya mwendazake ya kuwafanya matajiri waishi bila kujipa raha kwa jasho lap wenyewe?

Hizi siasa za majitaka. Haya endeleeni nazo tuone mnafika wapi!
 
Kwa mjengo huo Mbowe si Rais wa nchi. Mkimpaisha IKULU si atajenga HEKALU.
Mmmmmmm, mwenzangu subiri kidogo, Muda wako bado. Ngoja kwanza Fly over Dar, Mwendokasi na SGR ZIKAMILIKE kwanza. Ndio baadae uje utafune pesa za wananchi.
 
Ccm ni chama Cha wahalifu, ndio maana muhalifu anaimarisha chama. Acha aendelee na siasa za kishamba za enzi za dhalimu huku akitoa maagizo hewa kwa mawaziri ili kuhada hao wasombwa kwa malori.
 
Walivyo manyumbu na akili kama kuku watakuja kuanza kulia lia kuwa wameibiwa kura uchaguzi ujao,wakati wanajuwa nakutambua kuwa hawajapanda chochote kile katika mioyo ya watanzania cha kuwawezesha kuvuna uchaguzi ujao.
Hizo ahadi hewa za huyo muhalifu ndio kupanda kitu kwa watanzania? Kwa taarifa yako watanzania wanaojitambua wameshapuuza hizo chaguzi za kishenzi, usitegemee kuona tena Yale mafuriko ya wapiga kura waliokuwa wanaletwa kwa hamasa ya upinzani. Mtabaki watu wachache kwenye hizo chaguzi za kishenzi.
 
Ccm ni chama Cha wahalifu, ndio maana muhalifu anaimarisha chama. Acha aendelee na siasa za kishamba za enzi za dhalimu huku akitoa maagizo hewa kwa mawaziri ili kuhada hao wasombwa kwa malori.
Tindo, leo tumeshuhudia mgogoro wa miaka nenda rudi kati ya GGM na wanannchi wa Geita ukitatuliwa baada ya ziara ya Makonda mkoani Geita hili nali hulioni? Acha kujita upofu.
 
Tindo, leo tumeshuhudia mgogoro wa miaka nenda rudi kati ya GGM na wanannchi wa Geita ukitatuliwa baada ya ziara ya Makonda mkoani Geita hili nali hulioni? Acha kujita upofu.
Maigizo ya kijinga, wakatii wa dhalimu mlisema hiyo migogoro imeisha, Leo tena mnasema huyo muhalifu kamaliza mgogoro wa GGM na wananchi! Ama unadhani hatujui hiyo migogoro haimalizwi kwa porojo za majukwaa ya kisiasa? Kiki za kishamba hizo.
 
Acha nongwa, wakati babako akicheza sikinde baba wa mbowe alikuwa busy kutafuta pesa
 
Huyo aliingia kwenye siasa akitokea familia ya wenye pesa, hategemei pesa ya ruzuku ,hachafuki kwa staili hiyo
 
Kwani Mbowe hana namna nyingine ya kupata pesa zaidi ya posho inayotokana na ruzuku ya chama toka serikalini?

Kabla ya kuwa mwenyekiti hakuwahi kujenga? Au tatizo ni miezi mitatu ya ujenzi inawashangaza?

Siku hizi hata huko ndani vijijini, watu hujenga kwa kutumia kandarasi. Lengo ni kumaliza kazi haraka.

Tuache ushamba wana CHADEMA. Mbowe ana kipato nje ya uenyekiti wa chama.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Nimependa amelijenga machame, mh. Mbowe, poromosha lingine MOSHI TOWN, TUTENGENEZEE "CLUB TUAREG MOSHI TOWN" THE TOURIST CLUB, TUJIRUSHE CHALI YANGU PIA IKIKUOENDEZA PUMZIKA SIASA BAKI KAMA MZEE WA CHAMA NA SHUGHULI ZA KIUCHUMI ZA CHAMA ITAPENDEZA SANA.
-Tuipende kilimanjaro yetu-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…