Justine Eliya Kaaya anayetoa ushahidi kwenye kesi ya Mbowe ni nani?

Hizo kesi zake za madawa ya kulevya ni namba ngapi huko.police ziweke hapo.

Kwa nini hamkumpa kibatara aItumie kama ushahidi,
Kwa nini hawakufanya hivyo?
Shahidi alikuwa haja julikana ,alivyo julikana ndugu yake ambaye ni mpenda haki ndo akatoa ukweli na udhibitisho wa picha in short kesho kwenye cross examination za KIBATARA tutajua zaidi
 
Wanadai Sina permission ya kuangalia hizo attachment! Nakubali na Nashukuru, mimi siyo Mmeru anaye penda Wameru wenye ‘shile shile’, kuleeee nyai kabisa! Bora sijamwona!
 
Mbona watu walishangilia kifo cha magufuli? Wakashangilia kifungo cha Sabaya. Au hawakujua kama walikua wanashabikia maumivu ya binadamu wenzao? Au Binadamu ni mbowe peke yake, wengine wote ni mbuzi.
 
Mbona watu walishangilia kifo cha magufuli? Wakashangilia kifungo cha Sabaya. Au hawakujua kama walikua wanashabikia maumivu ya binadamu wenzao? Au Binadamu ni mbowe peke yake, wengine wote ni mbuzi.
Unahalalisha matendo yasiyo haki ya hao watumiaji vibaya wa madaraka, ambao hukumu zao zimefanyika kwa haki, mmoja Kisongo na mwengine gereza la mbali zaidi? You are next!
 
Wanadai Sina permission ya kuangalia hizo attachment! Nakubali na Nashukuru, mimi siyo Mmeru anaye penda Wameru wenye ‘shile shile’, kuleeee nyai kabisa! Bora sijamwona!
Nadhani ni shida tu ya mtandao .
 
Malipo ni hapa hapa Dunia wanafurahia Shida na Mateso ya Mbowe ila MUNGU Atasimama na Mbowe
 
Shahidi #2 upande wa mashtaka Justin Kaaya angali kumaliza kudodoswa:

Ila hadi hapa tulipo kwa maelezo yake:

1. inafahamika kuwa yeye ni mkereketwa tu wa CCM asiye kuwa na chama.
2. Yeye ni mkulima wa karoti, nyanya, vitunguu, maharage na mahindi.
3. Kama mkulima alikuwa pia mpeleka chai na chakula ofisini kwa Sabaya.
4. Kumbe SABAYA ana mke na yale ya mchumba na mahari bila shaka ilikuwa ni janja yake tu.
5. Aliandikishwa maelezo kwa ajili ya kesi hii baada ya yeye kufutiwa mashtaka.
6. Hakuwahi kuwaona washitakiwa #2 na #3 hadi alipokutana nao gerezani

Hata hivyo haijulikani umuhimu wa shahidi huyu mkereketwa:

Mbowe kama mgombea ubunge Hai wakati huo, alikuwa na haki ya kuwapeleleza washindani wake.

Bila ya shaka washindani wake walikuwa wakimpeleleza pia.
 
Haki haitoki kwa shahidi, inatafsiriwa kwenye sheria na jaji, na sio maoni yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…