JWTZ kuwatesa raia wanaovaa nguo za Jeshi ni ukatili

Kwan askari jeshi wote ni waonevu..mm nimesema hao waonevu
Kaka usomaji wako upoje au hujazoea sana kiswahili
Ninachopinga mm ni uonevu wala simtetei mtu anaevaa hizo gwanda maana ni kinyume cha sheria..na mkosefu anapaswa awajibishwe kwa sheria na sio uonevu
 
Mambo mengine mnawachokoza wenyewe nyie mnajua kabisa jeshi letu mazoezi ni Makali kinyama halafu hakuna mechi.
Acheni hizo nguo zao .Kukaa 40 bila kulala akili lazima itavaa kitu kipya Waulize 6weeks ni nini?
 
Haikubaliki kuchukua sheria mkononi ila na raia pia wakumbuke hawaruhusiwi kuvaa nguo za jeshi.

Majeshi yetu yana udhaifu kwenye kufanya good judgement kwahiyo sio vizur kuwa provoke, unaweza kufa kirahisi sana
Raia akikutwa na nguo hizo afkishwe kweny vyombo vya sheria ikibainika kama nguo hizo zimetoka China na zimelipiawa kodi basi aachiwe maana haileti maana[emoji120]
 
huna akili.
 
Nichukieni muwezavyo GENTAMYCINE japo Mimi siyo Mwanajeshi ila nawaunga mkono tena 100% kwa Adhabu zao Kali wanazotoa Kwetu Raia kwani tunadharau sana, Wabishi, tunawadharau, hatusikii, tuna mazoea nao ya Kijinga halafu tunapenda sana Kuwachukulia poa.

Hata Mimi GENTAMIYCINE nikikosea na Kuadhibiwa nao sitowalaumu kwani nawajua huwa hawakurupuki kutoa Adhabu na hawana huo Uhuni au Ukosefu huo wa Kimaadili tunaowalaumu nao hapa.

Tuacheni Unafiki na tutii AMRI zao Ok?
 
Kuna mjeda amewahi nipora g shock anasema ni saa za jeshi
 
Raia akikutwa na nguo hizo afkishwe kweny vyombo vya sheria ikibainika kama nguo hizo zimetoka China na zimelipiawa kodi basi aachiwe maana haileti maana[emoji120]
Hawana muda wa kubisha na wewe utazibuliwa tu acha kuvaa nguo zao
 
hizi shobo shobo kwenye nguo za wanajeshi binafsi sio kama ni sawa.

wacha wawafilimbe,mnuke mavi muache shobo dundo.
 

Attachments

  • IMG_2602.jpeg
    106.7 KB · Views: 3
Kuna mmoja alizinguaga kitunda kwenye 2015 nahisi watu tu walichoka ndani ya dakika kumi watu kama 300 walikuwa wameshamznguka mwenye panga,kisu,nyundo,tyre.

Sema wakubwa wake wakaja yakamaliza kidiplomasia pale pale na fine wakatoa sijawahi muona tena.

Hivyo haya yanayofanywa sio ya kuyachekea sababu binadamu anatabia ya kuchoka siku wakichoka mnaweza sababisha yale ya arab spring na mengineyo tunayoyaona maana wenyewe hata laki 5 hawafiki wakati sisi tupo 45+m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…