Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ha ha ha ha[emoji23]Na ugomvi wao mkubwa ni wa mademu
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha ha[emoji23]Na ugomvi wao mkubwa ni wa mademu
Ova
Kwan askari jeshi wote ni waonevu..mm nimesema hao waonevuMtafute uyo mtu chuma au kama na wewe ni chuma vaeni gwanda alafu mkinaswa mkatoe somo kwa askari jeshi.
Akuna askari jeshi akakuona raia umevaa gwanda zao akukupa lugha laini kwa jambo ambalo lishakatazwa..yani jeshi akuite akwambie,👉"blaza asalam aleikum,,bwana yesu asifiwe,braza nakuomba ukavue izo gwanda aziruhusiwi kuvaa raia sawa braza,,haya kwaheri blaza,"
Mambo mengine mnawachokoza wenyewe nyie mnajua kabisa jeshi letu mazoezi ni Makali kinyama halafu hakuna mechi.Kwan askari jeshi wote ni waonevu..mm nimesema hao waonevu
Kaka usomaji wako upoje au hujazoea sana kiswahili
Ninachopinga mm ni uonevu wala simtetei mtu anaevaa hizo gwanda maana ni kinyume cha sheria..na mkosefu anapaswa awajibishwe kwa sheria na sio uonevu
Shda cyo tamko,shda ni kipengere no_ngap kinawapa mamlaka hayo?Lakini si walitoa tamko ...
Raia akikutwa na nguo hizo afkishwe kweny vyombo vya sheria ikibainika kama nguo hizo zimetoka China na zimelipiawa kodi basi aachiwe maana haileti maana[emoji120]Haikubaliki kuchukua sheria mkononi ila na raia pia wakumbuke hawaruhusiwi kuvaa nguo za jeshi.
Majeshi yetu yana udhaifu kwenye kufanya good judgement kwahiyo sio vizur kuwa provoke, unaweza kufa kirahisi sana
huna akili.Kwahyo kwenye uzi ule hujatosheka umeamua kuanzisha uzi mpya angalia dogo walishatoa katazo na epuka hisia kali kwenye jambo kama hili ambalo wafanye wasifanye ww hautapungukiwa na kitu cha msingi kama una ndugu anashobo na gwanda mwambie akazisotee asivae kizembe atapata tabu sana
[emoji16][emoji16][emoji382][emoji382]Sawa mama nisamehe mwanao nimekosea tu. Au mama na ww ni taahira ndio ukanizaa mm taahira mdogo?
Nichukieni muwezavyo GENTAMYCINE japo Mimi siyo Mwanajeshi ila nawaunga mkono tena 100% kwa Adhabu zao Kali wanazotoa Kwetu Raia kwani tunadharau sana, Wabishi, tunawadharau, hatusikii, tuna mazoea nao ya Kijinga halafu tunapenda sana Kuwachukulia poa.Hivi kwa huu unyama unaotendeka hapa chini hili linafaa liitwe jeshi la Wananchi wa Tanzania au jeshi la Maharamia dhidi ya wananchi wa Tanzania?
CDF haya ndio mafunzo mnaowapa vijana wenu dhidi yetu Watanzania wenzao?
Ni sheria gani ya nchi na hapo jeshini inaruhusu huu upuuzi unaofanywa na hawa makamanda dhidi ya huyu mtu ?
Hivi hawa askari wanatengeza chuki gani kati ya jeshi na wananchi?
Naomba hatua za kisheria zichukuliwe kwa hawa makamanda wote waliofanya huu upuuzi.
Hawana muda wa kubisha na wewe utazibuliwa tu acha kuvaa nguo zaoRaia akikutwa na nguo hizo afkishwe kweny vyombo vya sheria ikibainika kama nguo hizo zimetoka China na zimelipiawa kodi basi aachiwe maana haileti maana[emoji120]
Ule usemi wa usipotii amri utapigwa umeusahau ?Kwa hiyo ndio washikishe watu mioto .Are you serious ?
Pole,ukafanyaje sasaKuna mjeda amewahi nipora g shock anasema ni saa za jeshi
Me nilipiga kelele kama natangaza kwamba hizi ni saa za jeshi??Pole,ukafanyaje sasa