Mkuu, Kama ni Kenya ni π°πͺ na Tanzania ni πΉπΏ, hata Ghana ni π¬π na Tanzania ni πΉπΏ.Jerry Rawlings alichukua nchi Ghana akiwa Luteni bila hata kuwepo na maandamano.
Jeshi kama kuchukua hatua lnaweza kuchukua hatua hata muda huu.
Kila kitu unaweza kusema ni madai mpaka wakuthibitishie kwa kukuteka wewe binafsi. Lissu kesi ya mchongo, Polepole, Chaula, Kibao, Soka waliyopitia ni madai kwako. Juzi hapo walitaka kumkamata Heche.Mkuu, Haya ni madai. Madai ya kwenye mitandao ambayo unatakiwa kuushawishi Uma kwa ushahidi ili uchukue hatua.
Ukumbuke, watu wazima 18+ hii nchi tupo 30M+. Unahitaji sapoti ya >5m<10m tu kufanikisha mission.
Bila shaka wewe utakuwa ni mnufaika wa hii serikali dhalimu ya samia inayolufilisi hili taifa, sema tu unajitahidi sana kuficha tusijui ila kwa mtu mwenye uwezo wa kusoma akili ya mtu kupitia maandishi yake kama mimi tayari nimeshabaini vinasaba ulivyonavyo kwa hii serikali.Hivi kile kiti unakielewa mkuu? Mpito? Mpito kwenye kiti cha uraisi Africa hii? Sijui, Kuna mambo unaweza yatamani ila yakitokea unajuta hata kwanini uliyafikiria. Jeshi libaki na majukumu yake ya kijeshi, raia tuwe na serikali ya kiraia, tuwe na Katiba sahihi inayoiwajibisha. Jeshi lichukue nchi? Hapana. Haya ni maoni yangu lakini. Tanzania tupo M60.
Mkuu, Sasa kama inashindikana kuishawishi serikali na vyombo vyake isikilize madai, huwezi kushawishi wanaccm, wanachadema na wengine 30m+kuibadili serikali, nini kinakufanya uamini unaweza kulishawishi Jeshi lisimtii amiri jeshi mkuu likusikie? Una mpango gani wa ushawishi ambao umeshindwa kufanya Kazi kwa raia na vyama vya siasa Ila utafanikiwa jeshini?Kila kitu unaweza kusema ni madai mpaka wakuthibitishie kwa kukuteka wewe binafsi. Lissu kesi ya mchongo, Polepole, Chaula, Kibao, Soka waliyopitia ni madai kwako. Juzi hapo walitaka kumkamata Heche.
Chombo gani huru cha kuthibitisha kwamba haya ni madai ya kweli au uongo na kuwawajibisha watekaji, polisi, serikali na kulinda raia hapa Tanzania leo hii?
Vyombo vya husika vimeshindwa kulinda maisha, haki, amani, rasilimali, kodi za nchi. Ndiyo maana msaada wa jeshi unahitajika kulinda raia.
... THAT ONE IS AN IDIOT!πJWTZ wanajua nini kuhusu kuongoza nchi?
Sijawahi kukutana na mwanajeshi yeyote yule wa JWTZ aliye na akili.
Kuweni waangalifu na mchokitaka/ mnachokitamani.
Hutaki mawazo mbadala tofauti na utawala wa kijeshi? Sasa haiwezekani mkuu, mitazamo lazima itofautiane. Na hiyo haimaanishi kuwa kila mwenye mtazamo tofauti na Jeshi kuchukua nchi anakubaliana na kuumizwa na kutekwa kwa raia.Bila shaka wewe utakuwa ni mnufaika wa hii serikali dhalimu ya samia inayolufilisi hili taifa, sema tu unajitahidi sana kuficha tusijui ila kwa mtu mwenye uwezo wa kusoma akili ya mtu kupitia maandishi yake kama mimi tayari nimeshabaini vinasaba ulivyonavyo kwa hii serikali.
Kwanza uko too pessimistic na jeshi letu, yaan umejawa na negative assumptions tu kuhusu jeshi letu utafikiri labda limewahi kukuongoza.
Kwa akili yako unaona kama tukikosa option ya kuiondoa ccm basi kuliko jeshi lichukue nchi ni heri tuendelee na ccm hii ambayo unatuibia na kutuua utafikiri maisha yetu ni kama ya nzi tu sio?
Kwa akili yako bila jeshi kuingilia kati wewe unafikiri hii ccm yako itatoka madarakani kwa njia ya kawaida sijui kwa kupiga kura????
Nikiona mtu anapinga wazo la utawala wa kijeshi kwa hapa tulipofikishwa na ccm nachukia sana, na kuona kabisa yuko pamoja na maadui wa taiafa hili ambao ndio hawa watawala.
Unajua mkuu hawa mafisadi na vibaraka wao sio kwamba hawajui kwamba viongozi wazuri wa kijeshi wapo, wanajua sana...Kuna shida gani? Mbona Jerry Rawlings alifanya hivyo Ghana?
Inawezekana Jeshi kuongoza kipindi cha mpito.
Jeshi kutawala kwa mpito ndani ya siku 90, miezi 6 au mwaka sio mbaya tunakua na katiba na kufanya uchuguzi kuliko kukaa na utawala wa kimtandao, ni hatari sana pia unakita mizizi kule mbele, kuja kuundoa itachukua miaka mingi sana.Hivi kile kiti unakielewa mkuu? Mpito? Mpito kwenye kiti cha uraisi Africa hii? Sijui, Kuna mambo unaweza yatamani ila yakitokea unajuta hata kwanini uliyafikiria. Jeshi libaki na majukumu yake ya kijeshi, raia tuwe na serikali ya kiraia, tuwe na Katiba sahihi inayoiwajibisha. Jeshi lichukue nchi? Hapana. Haya ni maoni yangu lakini. Tanzania tupo M60.
Mkuu, Sasa kama inashindikana kuishawishi serikali na vyombo vyake isikilize madai, huwezi kushawishi wanaccm, wanachadema na wengine 30m+kuibadili serikali, nini kinakufanya uamini unaweza kulishawishi Jeshi lisimtii amiri jeshi mkuu likusikie? Una mpango gani wa ushawishi ambao umeshindwa kufanya Kazi kwa raia na vyama vya siasa Ila utafanikiwa jeshini?
Naamini kabisa, samia anakula na kina mkunda.
Acha uongo mkuu kwani Tz itakua ya kwanza kutawaliwa kijeshi mbona kunamataifa mengi sana, yalitawaliwa kijeshi, hata kimaendeleo yametuacha mbali sana??Mtoa mada baada ya kushiba magimbi na mihogo apo kwa shemeji yako umeamua kuja huku jf na porojo zako!!
Ivi unajua hao jeshi wakishika nchi wewe adi stage hiyo utakuwa na hali gani?
Hata chakula cha kula tu siku mbili za hayo maandamano hauna!
Toka kwa shemeji yako kwanza ndo utake maandamano.!
Sahihi kabisa..Hii nchi inaongozwa na Cartels.
Ndo mana hadi Mkuu wa Intelejensia kawa Jambazi Mkuu.
Hii nchi tulipofika kwa kweli tufanye kila tunaloweza kuanze tu upya.
Ok, mkuu. Sababu umehitimisha kwa namna ya kuwa na hakika na yajayo, Sina hoja dhidi yako.Wananchi wote ndani ya CCM, CDM na wasio na vyama wanajua ukweli. Samia hatoshi kulinda maisha na rasilimali za taifa. Analiangamiza Taifa.
Ndio maana wananchi wanapinga kila siku. Unafikiri kwanini watu wanatekwa, wanafungwa magereza, wanateswa, kupotezwa na kuuwawa?
Unafikiri kwanini vyombo vya habari, JF vimefungiwa, Mombo,Wambura wanapewa hongo, bunge, mahakama, CCM, CDM, ACT,vimedhibitiwa, DGIS wamefukuza mpaka walipompata mla rushwa, mpigaji mwenzao. Unafikiri kwanini Samia anajaza ndugu zake kwenye majeshi, polisi, usalama mifumo yote muhimu ya nchi?
Jeshi linatakiwa kutolinda waovu. Amiri jeshi ni fisadi namba moja, adui mkuu wa jeshi lenyewe na taifa. Tuwape muda kidogo watachoka kutetea mafisadi na watakuja upande wa wananchi kama majeshi mengine ya Nepal, Bangladesh, Madagascar, Burkina Faso, Senegal. Kwa namna yoyote ile ukombozi wa hili taifa upo karibu.
Huyo ni mtu wa kuponda kila kitu halafu hatoi njia mbadala. So achana nae. Huyu haeleweki.Uliondoka wewe alafu unaniuliza mimi? We endelea kubeba maboksi huko ughaibuni.
Kwa mtu yeyote mwenye huruma na taifa hili, kwa jinsi mama Abdul na ccm yake walivyotugeuza manamba kwenye taifa letu la Tanganyika, hawezi akapinga wazo la jeshi kuchukua nchi hasa ukizingatia ndio option ya uhakika iliyopo kwa sasa.Hutaki mawazo mbadala tofauti na utawala wa kijeshi? Sasa haiwezekani mkuu, mitazamo lazima itofautiane. Na hiyo haimaanishi kuwa kila mwenye mtazamo tofauti na Jeshi kuchukua nchi anakubaliana na kuumizwa na kutekwa kwa raia.
Unaona sasa...!?. Kama hili tu linashindikana basi idadi ya wasiomtaka ni ndogo mno. Prove Me wrong.
Kaka hapa tunabishana na pandikizi la mboga mboga ambalo linafanya kusoma upepo tu kisha lipeleke report kwa Abdul.Kila kitu unaweza kusema ni madai mpaka wakuthibitishie kwa kukuteka wewe binafsi. Lissu kesi ya mchongo, Polepole, Chaula, Kibao, Soka waliyopitia ni madai kwako. Juzi hapo walitaka kumkamata Heche.
Chombo gani huru cha kuthibitisha kwamba haya ni madai ya kweli au uongo na kuwawajibisha watekaji, polisi, serikali na kulinda raia hapa Tanzania leo hii?
Vyombo vya husika vimeshindwa kulinda maisha, haki, amani, rasilimali, kodi za nchi. Ndiyo maana msaada wa jeshi unahitajika kulinda raia.