Binafsi nimeshaweka wazi kuliko kuendelea kuwa chini ya ccm mtandao inayongoza na samia na mastermind Kikwete ni heri nitawaliwe hata M23.Sasa utafanyeje?
Haya ni mawazo yako, yaheshimiwe. Maoni yangu ni kuwa, utawala wa kijeshi hapana. WaTanzania Bado tunaweza kushinikiza utawala wa kiraia tunaoweza kuuwajibisha. Ngoja tusome na maoni ya wengine mkuu.Kwa mtu yeyote mwenye huruma na taifa hili, kwa jinsi mama Abdul na ccm yake walivyotugeuza manamba kwenye taifa letu la Tanganyika, hawezi akapinga wazo la jeshi kuchukua nchi hasa ukizingatia ndio option ya uhakika iliyopo kwa sasa.
Kuendelea kutawaliwa na maccm haya ya sasa ni kukubali kuendelea kuibiwa na kuuawa muda wowote ule utakapojaribu kufungua mdomo...
....hii ccm ya sasa hivi kuua mtu kwa minor issue ni kama kunywa maji tu, imagine mtu amejirekodi anasema kuwa "october anatoka akimtaka samia ajiuzulu"... siku mbili baadae akaja kuchukuliwa na land cruiser iliyokuwa na watu waliojitambulisha ni maafisa wa polisi, na mpaka leo hajarudi umeshapita mwezi sasa.
Sasa serikali hii ina tofauti gani na utawala na Sani Abacha au wa Jean Bedel Bokassa?
Huu utawala wa samia umegubikwa na udikteta pamoja na ufisadi kma tawala za hao wawili niliowataja hapo juu.
Samia government is sheer kleptocratic and it has no remorse for the poors.
Sasa kuliko kuendelea kutawaliwa na ccm ya samia ambayo haina tofauti na serikali ya Bokassa, ni heri tujaribu utawala wa kijeshi JWTZ ambapo pengine tunaweza kumpata Traore au Sankara akatusahaulisha machungu tunayopitia kwa huyu Idd amin mama.
Even if it will take 30 years as long as the military regime is there for serving public interests adequately it is okay.Madagascar walisema kipindi cha mpito kitakua miezi mitatu wameongeza tena miaka mitatu halafu ikifika wataongeza tena miaka kadhaa na watakaoandamana watakula shaba za kutosha.
Namba hazidanganyi, hitimisho langu halitokani na mhemko au hisia zangu, linatokana na ninachoshuhudia hata sasa tunapojadili.Unaona sasa...!?
Ndio maana nikasema wewe ni mnufaika wa mfumo na huko hapa kutu enjoy hauna lolote.
Hivi kwa hali iliyopo sasa nchini bado kuna mtu ana doubt kuwa idadi ya watu wanaomchukia samia ni kubwa?
Kwamba wewe unahisi kuna uwezekano wasiomtaka samia ni wachache sio??
Hivi kwa akili ya kawaida tu hii mikutano yake ya kampeni ambayo mpaka amefikia hatua anawalipa watu waudhurie haikuoneshi kabisa huyu mama analazimisha upendo na watu hawamtaki?
Kama wanaomtaka samia wangekuwa ni wengi tuongeona akitumia gharama kubwa kusomba watu na kuwajaza kwenye mikutano yao?
Tungeona anawaharibia watoto ratiba za masomo na kuwajaza kwenye mikutano yake?
Jamaa hakuna mwanasiasa anayependwa na majority ya watu akateseka hivi kutafuta audience kwenye kampeni, na wala asingekuwa anaendesha magenge ya wahuni ambayo yanashinda mitandaoni kutafuta wanaomkosoa.
Ninachokiona kwako ni hofu ya mirija yako ya upigaji kukatika pale serikali ya kijeshi itakaposhika nchi, huna lingine lolote wewe
Uliondoka wewe alafu unaniuliza mimi? We endelea kubeba maboksi huko ughaibuni.
Ngabu nakusifu jambo moja. Upo consistent sana. Hiyo avatar tangu karne ya 20 hadi leo unayo. Tatizo watu wa aina yako ni waoga wa mabadiliko, hapo tu! Waacheni watanzania waamueAcha ujuaji. Niliondoka lini?
Wewe endelea kutetea usalama wa maslahi ya walafi wenzio na wewe mwenyewe, ila sisi tunachotaka ni kuona JWTZ ikishika nchi na kuwafurumusha huyo fisadi jike na genge lake ambapo naamini na wewe ni mmoja wapo.Haya ni mawazo yako, yaheshimiwe. Maoni yangu ni kuwa, utawala wa kijeshi hapana. WaTanzania Bado tunaweza kushinikiza utawala wa kiraia tunaoweza kuuwajibisha. Ngoja tusome na maoni ya wengine mkuu.
Sani Abacha Ibrahimu Babangida Blaise Compaore asilimia kubwa ya Madikteta wa Afrika walikuwa ni millitary rulers.Even if it will take 30 years as long as the military regime is there for serving public interests adequately it is okay.
Ni heri kutawaliwa na serikali ya kijeshi ambayo iko incompetent ila imejaa wazalendo tupu, kuliko kutawaliwa na serikali inayojiita ya kiraia ila imejaa wala rushwa,wezi na madalali wa rasilimali za taifa.
Better patriotic fool that smart inconsiderate corrupt leader.
Unajaribu kuthibitisha hoja zako kwa kwa kutumia tuhuma usizo na ushahidi nazo kwa sababu tu tumetofautiana mtazamo kuhusu jeshi kuchukua nchi.Wewe endelea kutetea usalama wa maslahi ya walafi wenzio na wewe mwenyewe, ila sisi tunachotaka ni kuona JWTZ ikishika nchi na kuwafurumusha huyo fisadi jike na genge lake ambapo naamini na wewe ni mmoja wapo.
Watanzania wanaweza vipi kuishinikiza hii serikali dhalimu ya washenzi kufuata matakwa yao na wakati sasa hivi unaambiwa wameshasambaza silaha kila mkoa kwa ajili ya kupambana na wanainchi?
Watanzania naona tuna hasira sana, ni kweli na sahihi kabisaEven if it will take 30 years as long as the military regime is there for serving public interests adequately it is okay.
Ni heri kutawaliwa na serikali ya kijeshi ambayo iko incompetent ila imejaa wazalendo tupu, kuliko kutawaliwa na serikali inayojiita ya kiraia ila imejaa wala rushwa,wezi na madalali wa rasilimali za taifa.
Better patriotic fool that smart inconsiderate corrupt leader.
Watanzania wangekua na akili hivi tungefika mbali, kibaya ni kwamba bado kuna majinga mengi bado yapo usingiziniHii nchi inaongozwa na Cartels.
Ndo mana hadi Mkuu wa Intelejensia kawa Jambazi Mkuu.
Hii nchi tulipofika kwa kweli tufanye kila tunaloweza kuanze tu upya.
Wala sijamzuia mtu kuamua chochote atakacho.Ngabu nakusifu jambo moja. Upo consistent sana. Hiyo avatar tangu karne ya 20 hadi leo unayo. Tatizo watu wa aina yako ni waoga wa mabadiliko, hapo tu! Waacheni watanzania waamue
Kaka nakuelewa vizuri sana na kwenye hii comment umetiririka uhalisia mtupu.Watanzania naona tuna hasira sana, ni kweli na sahihi kabisa
Ila JWTZ yetu hii sio taasisi imara ya kuweza kuwapa nchi hata Kwa masaa tu
Hili jeshi letu limekariri matumizi ya nguvu na kuvunja tofali
Hivi hawa vilaza wa JWTZ wana watu wenye weledi kwenye issue za uchumi, diplomacy, teknolojia n. K
Hii nchi sio parade kwamba uamke uamrishe miguu pande mambo yaende
CDF mwenyewe hawezi kujenga hoja ya ushawishi na anahongeka tu, sijui hao wa chini yake wakoje
Captain Traole yupo smart ni mzalendo haswa anajua diplomacy, uchumi, hatumii mabavu ovyo na ana love na nchi yake
Pia ana haiba ila hawa wa kwetu mmh Nina mashaka sana kusema ukweli
Yaani Kwa kifupi sijui TANZANIA tulimkosea nini Mungu, hatuna taasisi imara inayojielewa hata chembe
CCM imeharibu kila kitu
Samia ana uelewa gani?Kaka nakuelewa vizuri sana na kwenye hii comment umetiririka uhalisia mtupu.
Ni kweli kabisa kuongoza nchi inahitaji mtu mwenye uelewa mpana sana kwenye nyanja zote muhimu zinazogusa maisha ya mwanadamu.
Tena kwa taifa kama hili ambalo lina changamoto kibao na idadi kubwa ya watu linahitaji mtu makini sana na ambaye ana akili nyingi aina ya Kagame.
Ila sasa kwa vile tayari tumeshaya kanyaga leo hii tuna mtu kama samia ambaye naye ni kilaza tu pengine kuliko hao maafisa wa JWTZ ni heri tuwape hao JWTZ ambao naamini kuna mambo ya ovyo tunayoyaona kwa samia wao hawatakuwa nayo kama vile kuuza na kutapanya ovyo rasilimali za taifa, kuua watu ovyo wasiokuwa na impact kwenye utawala wao n.k
Kwa tulipofikia ni heri tuachague mbaya tunayomini ina nafuu kuliko kuendelea na mbaya isiyofaa ambayo inazidi kuwa mbaya zaidi kadri siku zinavyokwenda.
JWTZ hata kama watatumia mababvu kuliko akili, ila naamini discipline itakuwepo kwanzia serikalini mpaka uraiani.
Acha tuwape tu kuliko kuendelea kutawaliwa na hawa wauaji... imagine eti wale madogo waliokuwa wanaponda bango la samia, wameuawa sasa ndio serikali gani hii? Samia na ccm yake hapana kwakweli
Nimekwambia hawa JWTZ ni vilazaKaka nakuelewa vizuri sana na kwenye hii comment umetiririka uhalisia mtupu.
Ni kweli kabisa kuongoza nchi inahitaji mtu mwenye uelewa mpana sana kwenye nyanja zote muhimu zinazogusa maisha ya mwanadamu.
Tena kwa taifa kama hili ambalo lina changamoto kibao na idadi kubwa ya watu linahitaji mtu makini sana na ambaye ana akili nyingi aina ya Kagame.
Ila sasa kwa vile tayari tumeshaya kanyaga leo hii tuna mtu kama samia ambaye naye ni kilaza tu pengine kuliko hao maafisa wa JWTZ ni heri tuwape hao JWTZ ambao naamini kuna mambo ya ovyo tunayoyaona kwa samia wao hawatakuwa nayo kama vile kuuza na kutapanya ovyo rasilimali za taifa, kuua watu ovyo wasiokuwa na impact kwenye utawala wao n.k
Kwa tulipofikia ni heri tuachague mbaya tunayomini ina nafuu kuliko kuendelea na mbaya isiyofaa ambayo inazidi kuwa mbaya zaidi kadri siku zinavyokwenda.
JWTZ hata kama watatumia mababvu kuliko akili, ila naamini discipline itakuwepo kwanzia serikalini mpaka uraiani.
Acha tuwape tu kuliko kuendelea kutawaliwa na hawa wauaji... imagine eti wale madogo waliokuwa wanaponda bango la samia, wameuawa sasa ndio serikali gani hii? Samia na ccm yake hapana kwakweli
Ighaghe, Hitimisho ni common sense, it is not sustainable to rule in this fashion without real consent of people even for 5 years.Ok, mkuu. Sababu umehitimisha kwa namna ya kuwa na hakika na yajayo, Sina hoja dhidi yako.
1.Kwa nini uko personal?Mtoa mada baada ya kushiba magimbi na mihogo apo kwa shemeji yako umeamua kuja huku jf na porojo zako!!
Ivi unajua hao jeshi wakishika nchi wewe adi stage hiyo utakuwa na hali gani?
Hata chakula cha kula tu siku mbili za hayo maandamano hauna!
Toka kwa shemeji yako kwanza ndo utake maandamano.!
Mkuu, That’s precisely why I’ll refrain from commenting on your interpretation of common sense that shaped your conclusion.Ighaghe, Hitimisho ni common sense, it is not sustainable to rule in this fashion without real consent of people even for 5 years.
Itabidi aongeze maradufu vitendo vya ukatili, utesaji, utekaji, mauaji, kutupa watu magereza ili aendelee kutawala, nchi itakuwa kama Korea ya Kaskazini, Police state.
Hata hivyo pressure itaongezeka kutoka ndani na nje ya nchi. Mwisho wa siku atakimbia kama sheikh Hasina au kuishia jela baada ya ukombozi.
Siyo mbali muda utatupa majibu.Mkuu, That’s precisely why I’ll refrain from commenting on your interpretation of common sense that shaped your conclusion.