JWTZ: Tutaingia Mtaani kuzisaka Sare zetu kwa Wananchi

Yan 🤣 ulivyo ongea kama ww ndio uko mstari wa mbele kuwalinda raia
 
Nchi inawajinga wengi sana, yani hawa jwtz wamekosa jambo LA maana LA kufanya, wanaona kusaka nguo zinazofanana na za jeshi ni jambo LA maana sana!
Yaani mtu ni luteni, kwa elimu yote aliyonayo, mchango wake anaoutoa kwa nchi ni kusaka raia wanaovaa nguo kama za jeshi!? Akili za matope kabisa,
Badala ya kuwaza jinsi ya kutatua changamoto kwenye nchi, mfano wakiweka mkakati wa kutumia vijana wa jkt, wafungwa, tekunolojia kuzalisha sukari na ngano ya kutosha, tusiagize tena kutoka nje, jwtz ifahamike Afrika nzima kwa ku miriki kiwanda cha kuzalisha sukari, mafuta, ngano!
Mnaingia MOU na sekta binafsi, tuna kuwa na akiba ya nafska ya kulisha Afrika nzima!
Au kubadilisha matumizi ya kuni na kuwa gesi kwenye magereza yote,
Au kwenda mbali zaidi kuanzisha karakana ya kuzalisha vitu vya IT, au assembling plant ya magari,
Kwenye branches za majeshi kuna, Airwing,navy, na army(infantry), sasa hv imeongezeka Cyber na space, bongo zipo? Hawa Kenge wanachowaza ni kupiga watu mitama na kunyangsnya leso na kaptura, akili finyu kabisa,
Mwanajeshi tena unakuta wapo zaidi ya mmoja, mnatesa raia, na mnaona ufahari kabisa!
Hii ndio shida ya ku recruit failures wa form four.
Stupid kabisa. Yanaenenda kama mambuzi
 
Hongera Kwa ushauri mzuri,
Lakin viongozi wako wakuu wanawaza uchaguzi pekee
 
Acha kutisha watu kifala jinga kabisa hili
 
Kinachokera kimojawapo ni cha kumvamia raia ambaye hana mafunzo yoyote ya kijeshi,tena uvamizi unaotumika ukute ni wa kikundi,anapigwa mitama,aisee... inakera sana.Watu ambao mimi raia nafanya kazi,usiku na mchana,nilipe kodi,ambayo huyo askari kwenye hiyo KODI yangu,atalipwa posho,na mshahara,na vilevile hiyo pesa yangu,ndiyo imemfanya apate mafunzo,halafu leo badala ya kuheshimu raia,unamtisha na muda mwingine unampiga mitama,aisee....
Kwenda jeshi,ni mgawanyo wa majukumu,kama tu afisa wa TRA anavyotimiza majukumu yake.Wote hatuwezi kufanya kazi moja.Mkulima analima,daktari anatibu,huyu anafanya biashara,n.k kila huyo anajenga nchi kwa namna yake.None is special.
 
Wenzao wanapindua serikali huko wao wanasaka sare huku 😅

I don't condone mapinduzi ila hii ni task ya kiboya sana.
Pengine task inaweza change kutokana na mazingira ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…