Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
Umaskini ni dhana panaMbona sijaona sehemu unasema tuachane na umaskini
Hahaha pombe nzuri , ndio maana mtoa mada kasema kama hauna akili bwashee1. Hua nikiona pombe inasemwa vibaya, rohoni naumia sana aiseeee...
2. Kale kabiti kaliko nisevu "mubaba wangu" nimeamua nirudiane nako wakuu...
Kuna mapenzi na wake za watu na mapenzi kama mapenziMbona mapenzi umeandika.mara mbili
Na wewe hili swali umeliuliza mara tatu kwani we ni mtu wa mtanga mapenz yalipoanzia?Mbona mapenzi umeandika.mara mbili
Kwanzia leo natangaza wazi mimi sitakuheshimu tena na sijawahi kusoma na wewe maishani1. Hua nikiona pombe inasemwa vibaya, rohoni naumia sana aiseeee...
2. Kale kabiti kaliko nisevu "mubaba wangu" nimeamua nirudiane nako wakuu...
Si sehemu ya madaMbona sijaona sehemu unasema tuachane na umaskini
Pamoja sanaAisee na hivi vitu ukivizingatia utaishi maisha furaha sana.Mimi mwongozo mkuuu wa maisha yangu ni zela amri kumi za Mungu yaan zile ndo nazifuata hazijawahi kuniangusha kila napo taka kufanya ujinga zinanikumbusha.
Umasikini ni nature of universe hautakaa uisheUmaskini ni dhana pana