tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,843
- 29,350
Mkuu, hili hapa sina uhakika nalo vizuri. Naomba ufafanuzi zaidi. Ina maana tuachane tu na wake za watu ila tuendelee kuchakata mabinti na wanawake wasioolewa?👉 Mapenzi
Achana na wake za watu,
Acha kupendapenda ovyo.
Watu wengi wameaangamia na kupoteza malengo na Vitu vingi kisa mapenzi.