Hakuna alipo sema uepuke mapenzi bali amesema utumie akili na sio hisia.Mapenzi hayaepukiki mkuu ni kubalance tu
KulaBurudani nambari one ya binadamu ni kula na kunywa...ikafuatiwa karibu sana na kushenyeta mbususu
ilitakiwa kuwa mara 3Mbona mapenzi umeandika.mara mbili
Salaam jamiiforum.
Wanaume wenzangu chungeni hivi vitu,kuweni navyo makini na kama ukihisi huna uwezo wa kuvimudu usijihusishe navyo.
👉Pombe.
Hii kitu inaweza kugharimu maisha yako na ukaharibu ndoto zako zote.
👉 Mapenzi.
Usiiingie kwenye huu mtego kama huna akili timamu utaharibu future yako yote.
👉Siasa na uanaharakati/color]
Kaa mbali na hivi vitu kama ushawishi wako ni mdogo na huna umaarufu utatesa familia yako.
👉 Mapenzi
Achana na wake za watu,
Acha kupendapenda ovyo.
Watu wengi wameaangamia na kupoteza malengo na Vitu vingi kisa mapenzi.