Mkuu, hili hapa sina uhakika nalo vizuri. Naomba ufafanuzi zaidi. Ina maana tuachane tu na wake za watu ila tuendelee kuchakata mabinti na wanawake wasioolewa?๐ Mapenzi
Achana na wake za watu,
Acha kupendapenda ovyo.
Watu wengi wameaangamia na kupoteza malengo na Vitu vingi kisa mapenzi.
hapo pa wake za watu umeongea ukweli ambao wengi wanaufanya leo hii. watu hawaogopi wake za watu, na wanaona ufahari kutembea na wake za watu. ni hatari sanaaaPamoja sana
Minaona nataka pesa zaidi ya heshima mkuu...Kwanzia leo natangaza wazi mimi sitakuheshimu tena na sijawahi kusoma na wewe maishani
Kimsingi wanawake ni bomu,uchakataji hauepukiki ila ukiingia mtego umeisha...wake za watu ni mbaya zaidi.athari zake ni kubwa tofauti na hao wengine!Mkuu, hili hapa sina uhakika nalo vizuri. Naomba ufafanuzi zaidi. Ina maana tuachane tu na wake za watu ila tuendelee kuchakata mabinti na wanawake wasioolewa?
Asante kwa ufafanuzi mkuu. Mungu akubariki sana.Kimsingi wanawake ni bomu,uchakataji hauepukiki ila ukiingia mtego umeisha...wake za watu ni mbaya zaidi.athari zake ni kubwa tofauti na hao wengine!
MsisitizoMbona mapenzi umeandika.mara mbili
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ umeona hela ni dili kuliko nduguzo etMinaona nataka pesa zaidi ya heshima mkuu...
Na ukitaka pombe isikusumbue penda kunywa pombe za bei ghali na jiwekee kuwa kunywa pombe za bei ndoto ni kujiabisha , kamwe ni ngumu sana pombe kukutawa, pombe zenye tabia ya kutawala ni hizi za 2000Kwenye Mapenzi hapo ungekoleza mzee...Siasa na harakati unaweza kufanya kimya kimya kama wanavyofanya wanaJF walio wengi.Pombe,unaweza kunywa kwa akili na ikakaa tu vizuri.
Ila mapenzi hayahitaji akili zako wala umakini,ukijichanganya tu umeharibu maisha yote.sio Degree ya utabibu,diploma ya uhandisi wala ualimu wako utakaokusaidia. Na mbaya zaidi wapo wanaorudia haya makosa mara nyingi sasa,sijui wanawezaje yani!
Yamoto sana hiiHahaha pombe nzuri , ndio maana mtoa mada kasema kama hauna akili bwashee
Ah kumbe niko salama kabis....maana udhaifu wangu haujatajwaSalaam jamiiforum.
Wanaume wenzangu chungeni hivi vitu,kuweni navyo makini na kama ukihisi huna uwezo wa kuvimudu usijihusishe navyo.
๐Pombe.
Hii kitu inaweza kugharimu maisha yako na ukaharibu ndoto zako zote.
๐ Mapenzi.
Usiiingie kwenye huu mtego kama huna akili timamu utaharibu future yako yote.
๐Siasa na uanaharakati
Kaa mbali na hivi vitu kama ushawishi wako ni mdogo na huna umaarufu utatesa familia yako.
๐ Mapenzi
Achana na wake za watu,
Acha kupendapenda ovyo.
Watu wengi wameaangamia na kupoteza malengo na Vitu vingi kisa mapenzi.
Burudani nambari one ya binadamu ni kula na kunywa...ikafuatiwa karibu sana na kushenyeta mbususuUlevi ni mbaya ila bia mbili jioni huleta furaha.....tule halafu tunywe kwa kiasi
๐ NyetooAh kumbe niko salama kabis....maana udhaifu wangu haujatajwa
Ndio mkuu..๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ umeona hela ni dili kuliko nduguzo et
Hata chai inaweza kukuletea ugongwa wa kisukari,hata Bodaboda inaweza kukuletea ukilema au kifo,hata Magari yana jeruhi na yanaua pia,Na ukitaka pombe isikusumbue penda kunywa pombe za bei ghali na jiwekee kuwa kunywa pombe za bei ndoto ni kujiabisha , kamwe ni ngumu sana pombe kukutawa, pombe zenye tabia ya kutawala ni hizi za 2000
Sawa mkuu๐ข๐ขNdio mkuu..๐
Nakubali๐Hata chai inaweza kukuletea ugongwa wa kisukari,hata Bodaboda inaweza kukuletea ukilema au kifo,hata Magari yana jeruhi na yanaua pia,
Kwenye maisha kuna vitu huwezi kuviepuka,utajilinda na hili moja halafu unakuja kudhurika au kufa kwa jambo lingine,
Love the life you live,
Live the life you love.