Kaa mbali na Vitu hivi Kwa ustawi wa maisha yako

uki acha mapenzi maana yake uwe malaya! kwenye umalaya hapo ndio Baba ta muziki! anyway gambling haisemwi ila ni jini
 
Pumbavu ungesema DINI ningekuelewa hapo ni Utopolo mtupu
 


TZ imedumbukia vinaya sana kwenye utawala wenye watu wenye akili ndogoooo na finyuu saaaana.

Naona wanaharakati wa kisiasa wote mlishawahukumu kifo.

Sema Mungu fundi, baahati nzuri na nyie MNAKUFA.
Kaa mbali na hivi vitu kama ushawishi wako ni mdogo na huna umaarufu utatesa familia yako.

👉 Mapenzi

Achana na wake za watu,
Acha kupendapenda ovyo.

Watu wengi wameaangamia na kupoteza malengo na Vitu vingi kisa mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…